Bajeti yako ni bei gani?Niko kwenye harakati za ku-upgrade kidogo usafiri.Mahitaji yangu kifupi ni kama ifuatavyo:
1.Mwonekano mzuri wa nje na ndani
2.Space ya kutosha angalau watu wa5 comfortable.
3.Gari iwe ndefu kdg kwenda juu(means gari jamii spacio,tiida ni fupi sana).
4.Engine isiwe kubwa sana,5.Budget yangu ni 6.Lazima iwe automatic
7.Yenye 4wd ingefaa zaidi,japo kama haina sio big deal.
8.Muziki ni very high priority.Kama haina muziki wa kiwandani basi kuwe na uwezekano wa kuweka artificial.
Hizi ndo priority zangu,ambazo hazipo hapa(mfano speed) manake hazina point sana kwangu.
So far nilipofikia:
Kuna gari nimeshazimark ambazo angalau zinakaribia hizo specs,ila sijajua ipi ni best zaidi coz mi binafsi sijawahi kuziendesha.
1.Rav4 ya 2006,hii kdg inameet sema ni expensive.Pia nyingi naona zina 2360cc.
2.Subaru Forester ya 2007:Hii inameet sema nna kigugumizi kuhusiana na spare,mwenye ujuzi nazo ningeshukuru akinielezea.
3.Nissan Dualis,same as no 2.
4.Suzuki Grand Vitara ya 2006 na kuendelea,hii kigugumizi naona kama show yake inaweza isiruhusu kuweka radio ya kisasa,au ikiwekwa nahisi show itaharibika,mwenye ujuzi em anisaidie.
Nakaribisha ushauri,either kati ya hizi au kama kuna nyingine.
Budget nimesema, <=22M.Hizo Toyota Vanguard zote ni 2360cc si ndio?Hata bei yake nahisi iko nje ya budget yangu.Bajeti yako ni bei gani?
Kama unamudu RAV4 ya mwaka 2006 basi unamuda Subaru Forester ya mwaka 2008 au 2009,ila isiwe ya mwaka 2007. Pia unamudu Toyota Vanguard zote hizo ni gari nzuri. Kuhusu Nissan ina changamoto zake kuliko hata Subaru. Opt kuchukua Subaru 2008 au 2009,Vanguard ya mwaka 2006 au 2007 au Harrier ya mwaka 2006 ya cc2360 engine ya VVTi(2AZ-FE)
Ingawa hujasema bajeti umejipangaje
Lakini hizo gari hakuna inayopungua Tsh 20m/± na kuendelea!
Bajeti yako ni bei gani?
Kama unamudu RAV4 ya mwaka 2006 basi unamuda Subaru Forester ya mwaka 2008 au 2009,ila isiwe ya mwaka 2007. Pia unamudu Toyota Vanguard zote hizo ni gari nzuri. Kuhusu Nissan ina changamoto zake kuliko hata Subaru. Opt kuchukua Subaru 2008 au 2009,Vanguard ya mwaka 2006 au 2007 au Harrier ya mwaka 2006 ya cc2360 engine ya VVTi(2AZ-FE)
Ingawa hujasema bajeti umejipangaje
Lakini hizo gari hakuna inayopungua Tsh 20m/± na kuendelea!
Unataka ku-upgrade hongera mkuu,iyo ya zamani unauza pesa ngapi ?
Chukua mnyama huyo subaru Forester gari ya kiume,rav4 inawapendeza sana sana mama zetu japo inafaa kwa wote,hii grand vitara huwa wanaendesha watu fulani hivi wastaarabu sana na mavazi yao ni kuchomekea sana na ni watu wapole sana kama gari ilivyo ni gari nzuri.
Hii ntauza 7.5M,chini ya hapo siuzi.Ni toyota spacio
Em elezea zaidi mkuu.Ina vtu gani tusivyovijua?Suzuki ni gari nzuri sana! Ila watu hawajajua tuu....
Bange yuleAccording to kidukulilo hayo uliyotaja sio magari ni vyombo vya usafiri.
Just a joke mkuu
Yani unamshauri mwenzio anunue kibasi? [emoji23] [emoji23]Chukua harrier au toyota alphard v
Alphard mnyama mkali ndo nnayotumia mimi yaani hata watu wawe 10 kinameza,ye si anataka space bwanaYani unamshauri mwenzio anunue kibasi? [emoji23] [emoji23]
[emoji1][emoji1][emoji119][emoji119]Yani unamshauri mwenzio anunue kibasi? [emoji23] [emoji23]
Noted mkuu.Hii sikuwa nimeiwazia kabisa,I think you have a point there.Ni ya mwaka gani hiyo Harrier au ndo lile tako la nyani?Usipoteze muda nenda kwenye Harrier yenye engine ya 2AZ-FE,hiyo cc 2360 isikutishe,hiyo engine ni VVTI iko vizuri sana kwenye kutafuna mafuta,inakwenda mpaka km 13 kwa lita 1 kwenye high way( speed 80-110 km/h)...
Probm ya Alphard ni fupi sana.Nahisi hata mafuta iko juu.Mi nahitaji cross over,iliyo juu,if possible na 4wd,na pia mafuta angalau 2000cc.Lakin iwe na mwonekano presentable kiasAlphard mnyama mkali ndo nnayotumia mimi yaani hata watu wawe 10 kinameza,ye si anataka space bwana
Chukua harrier au toyota alphard v
Ndio,zile tako la nyani kuna zenye engine hiyo ya 2AZ-FE na nyingine ni engine tofauti na mwaka ni kuanzia 2004.....Noted mkuu.Hii sikuwa nimeiwazia kabisa,I think you have a point there.Ni ya mwaka gani hiyo Harrier au ndo lile tako la nyani?