papaayenga
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 765
- 501
Tiper fusso mingnon engine d16 single diff tairi 4 nyuma bado ipo ktk hali nzuri inatembea, bei mapatano kwa maelezo zaidi piga 0754403390
Yauzwa, so?
Nipigie kwa no. hiyoYauzwa he'll ngapi?
Kama imeshauzwa so unataka nini? Au kiswahili kimebadilika, hivi nikisema 'nyumba yajengwa' unaelewa nini?So ni nini?
Kama imeshauzwa so unataka nini? Au kiswahili kimebadilika, hivi nikisema 'nyumba yajengwa' unaelewa nini?
Kama imeshauzwa so unataka nini? Au kiswahili kimebadilika, hivi nikisema 'nyumba yajengwa' unaelewa nini?
lugha za magazeti ya udaku zineathiri wengi. hadi mambo rasmi (official) yanaletwa kimzaha mzaha.
kwa lugha hiyo (..... yauzwa) tunahabarishwa kuwa tayari mignon imeshauzwa. japo tunabaki na maswali ya 5W na 2h

Bora Ungekaa kimya watu wasigejuwa kutojuwa kwako kiswahili, kuliko kuonyesha jinsi lugha ya kiswahili inavyo kupiga chenga neno yauzwa inamaanisha bidhaa ipo sokoni neno imeisha uzwa inamaanisha bidhaa hapo sokoni, angalieni hicho kiswahili chenu cha elimu bure na shule za kata kutaka kukosoa, wakati ni debe tupuhalishi kutika