Gari Fusso mingnon yauzwa

papaayenga

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
765
501
Tiper fusso mingnon engine d16 single diff tairi 4 nyuma bado ipo ktk hali nzuri inatembea, bei mapatano kwa maelezo zaidi piga 0754403390
IMG-20190702-WA0001.jpeg
IMG-20190702-WA0003.jpeg
IMG-20190702-WA0002.jpeg
 
lugha za magazeti ya udaku zineathiri wengi. hadi mambo rasmi (official) yanaletwa kimzaha mzaha.

kwa lugha hiyo (..... yauzwa) tunahabarishwa kuwa tayari mignon imeshauzwa. japo tunabaki na maswali ya 5W na 2h
 
Kama imeshauzwa so unataka nini? Au kiswahili kimebadilika, hivi nikisema 'nyumba yajengwa' unaelewa nini?

Wewe hujui kiswahili kabisa inaonekana ulijifundisha kiswahili ukubwani tena mtu wa bara kabisa hebu weka tense(nyakati) na vinyabulisho vyake kati ya meneno haya
1 IMEUZWA
2 YAUZWA

neno lipi ni PASTE TENSE na lipi ni PRESENT CONTINUOUS TENSE ?
 
lugha za magazeti ya udaku zineathiri wengi. hadi mambo rasmi (official) yanaletwa kimzaha mzaha.

kwa lugha hiyo (..... yauzwa) tunahabarishwa kuwa tayari mignon imeshauzwa. japo tunabaki na maswali ya 5W na 2h

lugha za magazeti ya udaku zineathiri wengi. hadi mambo rasmi (official) yanaletwa kimzaha mzaha.

kwa lugha hiyo (..... yauzwa) tunahabarishwa kuwa tayari mignon imeshauzwa. japo tunabaki na maswali ya 5W na 2h

Bora Ungekaa kimya watu wasigejuwa kutojuwa kwako kiswahili, kuliko kuonyesha jinsi lugha ya kiswahili inavyo kupiga chenga neno yauzwa inamaanisha bidhaa ipo sokoni neno imeisha uzwa inamaanisha bidhaa hapo sokoni, angalieni hicho kiswahili chenu cha elimu bure na shule za kata kutaka kukosoa, wakati ni debe tupuhalishi kutika
 
umeguswa pabaya, pitia na waungwana wengine walivyonena.
Bora Ungekaa kimya watu wasigejuwa kutojuwa kwako kiswahili, kuliko kuonyesha jinsi lugha ya kiswahili inavyo kupiga chenga neno yauzwa inamaanisha bidhaa ipo sokoni neno imeisha uzwa inamaanisha bidhaa hapo sokoni, angalieni hicho kiswahili chenu cha elimu bure na shule za kata kutaka kukosoa, wakati ni debe tupuhalishi kutika
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom