Nikupatie Mark 11 gx 100, cc2500, mashine safi sana kwa safari pia nimeweka engine mpya miezi miwili iliyopita namba CHabari wakuu?
Naitaji gari dogo namba ianze na C vitz old model nitaipa kipaumbele
Budget M 4 mpaka M 4.5 starlet ,Suzuki swift sizitaki .Muuzaji makini anicheki 0757985566 WhatsApp gari liwe dar es salaam .Asanteh