Habari zenu wadau, hivi karbuni nimelpwa pesa za nssf nilizokuwa nadai kwa muda mrefu na ni mara yangu ya kwanza kushika hela nyingi kama hii toka nizaliwe. Ninapata shida ktk kufanya maamzi sahih kipi kizur nikfanye ambacho kitaniongezea kipato nakubaki siku zote nina hela. Binafsi kuna mambo matatu yananijia kichwani moja wapo nilifanye maana uwezo wa kuyafanya yote sina
1. kujenga nyumba
2. kufanya biashara yeyote.
3. kununua gari
Note: nikokwenye nyumba ya kupanga.
Ushauri plz.

Nimepata mil.18 mkuu
Kwa hiyo hizo nd'o nyingi..??!!! Mbona hazitoshi gari wala nyumba wala biashara labda labda umachinga. Lakini biashara ya magari, mabasi ya safari ndefu, vifaa vya ujenzi, kujenga hospitali au shule; hazitoshi kabisa..!!!
Nimepata mil.18