Gari bei rahisi

Gari bei rahisi

eazy900

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
349
Reaction score
124
Wanajamii,

Nauza kagari kangu Nissan Almera kwa million 5.2 tu. Engine CC 1700, KM108000, year 2002.

Ipo inatembea bila tatizo.
Karibuni

Attachments

  • IMG_0591.JPG
    IMG_0591.JPG
    654.6 KB · Views: 1,120
  • IMG_0590.JPG
    IMG_0590.JPG
    564.7 KB · Views: 949
  • IMG_0593.JPG
    IMG_0593.JPG
    623.4 KB · Views: 908
  • IMG_0595.JPG
    IMG_0595.JPG
    329 KB · Views: 898
  • IMG_0596.JPG
    IMG_0596.JPG
    302.6 KB · Views: 790
hio CC yake meaning 1.7lita per km sasa kwa dar pamoja na foleni lets say unafanya kaz posta mimi huwa natumia 180,000 kwa mwezi kutoka mbezi beach makonde, ulaji wake ni mzuri kama spacio, raum, alex/runex,
 
Hahaha hili jibu la CC nimelipenda saana
bab-D upoo
 
Acha longolongo mkuu weka cc hapa mezani sio hzo assumption zako au umelenga wateja wa mbezi makonde pekee ili waandae hyo 180000 fuel per month
 
Mkuu cc nimeweka hapo no 1700 or 1.7
 
hio CC yake meaning 1.7lita per km sasa kwa dar pamoja na foleni lets say unafanya kaz posta mimi huwa natumia 180,000 kwa mwezi kutoka mbezi beach makonde, ulaji wake ni mzuri kama spacio, raum, alex/runex,

1.7Lt/Km ina maana ukisafiri kilimeta 10 unatumia Lita 17?
Hata Greda halitumii mafuta kiasi hiki.
 
Kula tatu mkuu. Ukikubali leoleo nachukua gari hiyo!
 
Hapo kwenye lita 1.7 per km umechemsha mkuu,fanya utafiti vizur kwa wataalamu au weka mafuta lita hata mbili uanagalie inakulaje mafuta kwa 1km kwenye njia isio na msongamano wa mgari,kwani nina uhakika hiyo gari inaweza kuwa inatumia mpaka lita 1 kwa 9 -10km.
 
Kweli matangazo ya biashara yana wataalam wake...unaweza ukajua unasifia kumbe unaharibu kabisa...
1.7lt sawa na km moja haya sasa...lita 17 km 10 kazi ipo hapo...teh teh teeeh!!!
Mie mkazi wa Morogoro unanishawishi km ntatoka mjini mpk Mzumbe ni lita 42 kazi ipo...sijarudi hapo mjini!!!
 
Hapo kwenye lita 1.7 per km umechemsha mkuu,fanya utafiti vizur kwa wataalamu au weka mafuta lita hata mbili uanagalie inakulaje mafuta kwa 1km kwenye njia isio na msongamano wa mgari,kwani nina uhakika hiyo gari inaweza kuwa inatumia mpaka lita 1 kwa 9 -10km.

Mkuu cc yake ni 1700 ambayo no engine ndogo posible nawezakua nimekosea kwenye mchanyanuo wa mafuta
 
Back
Top Bottom