Gari bei rahisi

Gari bei rahisi

Kweli matangazo ya biashara yana wataalam wake...unaweza ukajua unasifia kumbe unaharibu kabisa...
1.7lt sawa na km moja haya sasa...lita 17 km 10 kazi ipo hapo...teh teh teeeh!!!
Mie mkazi wa Morogoro unanishawishi km ntatoka mjini mpk Mzumbe ni lita 42 kazi ipo...sijarudi hapo mjini!!!


Mkuu lete hio 5.2m nikushushie machine hapo moro
 
Kumbe watu wengi wanatumia magari lakini hawajui ulaji wake wa mafuta na maana ya ukubwa wa engine (Engine capacity-CC). Wengi wananunua gari kwa muonekano wa nje au ndani, au kalipenda kwa vile kaona fulani analo au anataka kuwa "koga" majirani au marafiki mtaani basi.

Karne hii siyo ya hivyo, unapotaka kununua gari lazima ujue vitu vya msingi kama linaweza kuendana na hali ya uchumi wako na matumizi yake, vinginevyo litakushinda na utaamua kuliuza kwa bei ya hasara!
 
Kumbe watu wengi wanatumia magari lakini hawajui ulaji wake wa mafuta na maana ya ukubwa wa engine (Engine capacity


kuangalia cc huo ni umasikni mkuu, teh teh nakwenye ATM we kutoa hela si hua unaangalia balance kwaza, sasa mi natoa tu heheheh its a joke
 
Husninyo ninazo mbili kwa sasa na hili linakuaa tu home sasainakua sio sawa na gari ikikaa tu bila kutumika inaharibika thats why naliuza

Mkuu sasa kwa huo muda iliokaa bila kutumika unaweza kua muwazi na kutuambia nikitu gani kilichoharibika!au ilibaki kidogo tu kuharibika
 
Kwa muonekano wa mbele inaoneka ilishawah kugongwa. Mkuu kuwa mkweli
 
Mkuu sasa kwa huo muda iliokaa bila kutumika unaweza kua muwazi na kutuambia nikitu gani kilichoharibika!au ilibaki kidogo tu kuharibika

Haijakaa bila kutumika mkuu nilichosema hapo nikwamba ilikaa bila kutumika kwa muda mrefu huo hizi used zinakua zinasumbua kwa sasa ninayo ingine ndio ninayotumia muda mwingi ambayo nimeipata kama mwezi sasa ndani ya mwezi haiwezi kuharibika ila mbeleni kunaposibility nisiiguse kabisa na hio ndio concern yangu mfano utakuta batter iko Down itahitaji kick, na vile vile lazima utambue used car age na hizo km na hio price haiwezi kua kama mpya matatizo madogomadogo utakutana nayo tu
 
Back
Top Bottom