Gari aina ya Toyota Brevis

nitumie namba ya huyo jamaa nimsaidie kunua hiyo gari anicheki kwa 0765506050
 


SAFI SANA MKUU UNA KNOWLEDGE SANA-- nakubaliana na wewe 101% ...
 
hv wabongo mnataka gari itakayokaa maisha?
brevis ni gari zurti tu.Mtu unanunua kutokana na uwezo wako na kipi unataka.luxury au point A to B.
 

Mkuu nakubaliana nawewe kwa 9650% hasa kwasababu umeongea ujweli kwa kumuweka mnyama fuga hapo.
Nilitaka kununua Fuga mwaka Jana nikaghairi na kununua Mark X, Fuga nasubiri kama baada ya mwaka hivi najua za mwaka 2010 hadi 2013 zitakuwa zimeshuka bei, lazima nichukue. Hasa Fuga hybrid. Gari tamu sana zile.
 
Brevis mwachie dadako, chukua Vogue 2015, hatari sana hii kitu aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…