grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Huyu bila shaka gari si yake, mie nnayo leteni only ten m.
Lete biashara sokoni, acha maneno. Nadhani umenielewa.
Huyu bila shaka gari si yake, mie nnayo leteni only ten m.
Kweli aisee hiyo ni mileage ya used semi trailer.Nahisi labda hesabu kwake ni shida au kakosea bahati mbaya ila kama ni kweli basi hiyo gari inabidi iuzwe chini ya milioni tano kwa sababu imetembea sana aisee yaani haifai.
Zinapatikana milioni 15 tu hapa Dar na mileage yake ni chini ya 80000 we unaenda kuilipia motor vehicle,bima na mambo mengine madogo madogo yahusuyo gari ngoma inaingia kwa barabara.Ingia carmudi.com ujionee mwenyewe.
imetembea km 550000 duh majanga hapo
haahaha M24? em cheki hapa uone wenzio wanauza kitu piruu kwa nusu bei yako
Toyota Mark X For Sale With Push To Start | Dar es Salaam | K...
Mkuu bei ya gari inategemea na condition ya gari,usikariri,hakuna standard price ya gari,inategemea mwenyewe anauza ngapi,bei ya mark x yard hauwezi kupata kwa 15m,mtaani mtu akikwama anauza bei yeyote,mie nishaletewa vogue sports 2006 ilikuwa inauzwa 18m.

vogue sawa, sports utata!
Hutaki kuamini ilikuwa vogue sports? Mimi nimeshawahi kuletewa nissan xtrail ya mwaka 2005 bei mil. 5.5
Mkuu hata mimi nimeshangaa kilometer nusu million ndani ya miaka saba!!
mwenye kuuza Toyota IST aje tuongee
mie nishaletewa vogue sports 2006 ilikuwa inauzwa 18m.
Hizo ni shilingi za Tanzania mdauMie niliagiza Mark x kutoka Japan yenye km 63000/= Kwa 15m . huyu 24m kazitoa wapi? Au anadhani wana~jf hawajui zinakotoka?
Ipo no c inataka nane na nusu