kabajeti kangu ni sita mkuu
Ha ha ha poa ngoja tuangalie
kabajeti kangu ni sita mkuu
Mkuu bei ya gari inategemea na condition ya gari,usikariri,hakuna standard price ya gari,inategemea mwenyewe anauza ngapi,bei ya mark x yard hauwezi kupata kwa 15m,mtaani mtu akikwama anauza bei yeyote,mie nishaletewa vogue sports 2006 ilikuwa inauzwa 18m.
Kwa bajeti hiyo kupata IST inatakiwa subira tu, inaweza kutokea mtu mwenye shida akauza.kabajeti kangu ni sita mkuu