Gari aina ya IST new model 5.5million tu

😂😂😂 Aiseee na huyu Leviz kasema milioni 5 ... Ukweli ni upi?
Usicheze na madalali unaweza ukakuta kuna mwingine kapost M25 hapo kinaviziwa kichwa tu, kuna madalali watatu waligonganishwa na sistadu mmoja akiwa na jamaa yake huyu anasema nyumba laki 8, huyu anasema 1.5M na huyu anasema 2.5M alafu nyumba ni Ile Ile madalali tofauti sista akasema subiri akawagonganisha mbuu wote pamoja wanaanza kuitana pembeni wampange, mjini Shule madalali wanakula kwa mtelezo

Kuna mmoja kabananishwa juzi akaulizwa swali km hilo akajibu kwa sailenza kwamba Gari unaweza ikawa inauzwa 10M Ila mteja akaja akalala 5M wakaongea na mwenye Gari akakubari 5M ikatokea mlipaji akawa hajaweza kulipa dalali atatembea na Ile Ile 5M Ila kuna wengine waliochukua tenda kwa 10M ndio hao wanapandisha cha juu 13M mpaka 15M ili na yeye apate ya Maji

Madalali wanaishi kwa mtelezo hawatumii nguvu nyingi ni maneno tu mtu anabinya Milion kadhaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom