Gari aina ya IST new model 5.5million tu

Haina matatizo boss ...ni mtu anashida na pesa alikopa
nimeshindwa kuaattach hapa ila kuna sehemu wamepost hii gari ni 13Mln mkuu
Screenshot_20240325_205546_Facebook.jpg
 
Gari aina ya IST new model cc:1500,year of manufacture 2015, ipo vizuri sana Karibu wateja Wetu wa MR classic tuwasiliane kwa nambari 0695022051
Gari ipo vizuri sana mkuu. Pesa ipo mfuko wa Sharti. Lakini nnaomba twende nayo Morogoro na kurudi. Ikifika salama nnakupa pesa yako gharama za Mafuta na Chakula ni juu yangu
 
Hivi unajiskiaje kufanya utapeli kwa gari ambazo zipo kwenye ofisi za wenzio au umetumwa mzee?
Sio utapeli ndugu yangu gari ipo na kabla hujanunua unaruhusiwa kuiangalia na kuikagua kama umeridhika nayo na unaitaka ndo unaweza kufanya malipo na ukaichukua gari....kumhukumu mtu kwa kitu ambacho hukijui ni dhambi pia
 
Huyo mtoa mada ni tapeli sababu hii mara ya kwanza dalali wa gari anaweka service charge ya 30,000 utapeli wa asubuhi na lijamaa limedownload picha na lime

Huyo mtoa mada ni tapeli sababu hii mara ya kwanza dalali wa gari anaweka service charge ya 30,000 utapeli wa asubuhi na lijamaa limedownload picha na limejoin feb 2024
Ni ww tu na Imani yako boss kila mtu anacharge yake kulingana na alivyo na kazi yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom