Picha mkuu,halafu pande zipi!?Gari aina ya IST new model cc:1500,year of manufacture 2015, ipo vizuri sana Karibu wateja Wetu wa MR classic tuwasiliane kwa nambari 0695022051
Huu uzi uhamishiwe kule Chitchat!
Gari ya 2015 iuzwe 5.5M bongo hii?
Haina matatizo boss ...ni mtu anashida na pesa alikopaKua muwazi tu Ina matatizo Gani? Au ulimaanisha 15.5M sheikh?
Amna anashida na pesa alikopa benkiKitu kikiwa kizuri sana halafu bei rahisi sana achana nacho au kuwa makini sana.
TuioneGari aina ya IST new model cc:1500,year of manufacture 2015, ipo vizuri sana Karibu wateja Wetu wa MR classic tuwasiliane kwa nambari 0695022051
Hapana unaruhusiwa kuja kuicheki na kuikagua ila service charge 30000/= usipoitakaHapa kuna mtu atapigwa na kitu kizito
Mbona bei rahisi kuliko Vitz?Gari aina ya IST new model cc:1500,year of manufacture 2015, ipo vizuri sana Karibu wateja Wetu wa MR classic tuwasiliane kwa nambari 0695022051