Gari aina ya IST namba D inauzwa

kwa mwonekano gari ni nzuri.. na bei ni nzuri
Ukweli gari upo vizuri chief, wife amekua akiiendesha kwa nidhamu na uoga.
Yaani ni gari ya home to job na kinyume chake.
Tumeamua tu kubalisha gari mkuu
 
Karibuni wateja, chuma bado ipo sokoni.
Kuiona ruksa, kuikaguwa ruksa, kuijaribu ruksa
 
Kwanza hongera kwa kuwa na mke mwenye gari..kama uwaambiavyo wenzako watajapo gari.
Pili ntakupigia Alhamisi tubonge kidogo
Ukweli gari upo vizuri chief, wife amekua akiiendesha kwa nidhamu na uoga.
Yaani ni gari ya home to job na kinyume chake.
Tumeamua tu kubalisha gari mkuu
 
Kwanza hongera kwa kuwa na mke mwenye gari..kama uwaambiavyo wenzako watajapo gari.
Pili ntakupigia Alhamisi tubonge kidogo
Asante sana mkuu, kweli kibongo land kuwa na gari sio kitu mbaya.
Karibu nikuuzie chuma mkuu
 
Karibuni wateja, mzigo bado upo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…