Gareth Bale Akinukisha Kwa Ronaldo na Mashabiki

huyo CR7 mwenyewe ndio mchoyo kuliko wengine, its just a stupid campaign
 
huo ughali labd wew ndo umempa

Duh!!! Kweli ww upo "old skull" or "outdated" yaani humjui ht mchezaji ghali duniani??? But uwezo wako wa kuangalia mpira pori wa bongo ndo unakufaa.
 
kazi ipo kwelikweli
 
Relationship between Ronaldo and Bale?

Carlo Ancelotti:

"We shouldn't start a fuss over these things. It's a moment in football of the sort that happen often. The relationship between the players, not just between those two, is very good and the team has always shown that. We work with the same aim of taking Real Madrid as high as possible, and I don't think it's fair to carry on talking about this subject."

http://www.espnfc.com/real-madrid/s...ationship-no-rift-real-madrid-carlo-ancelotti
 
Bale ni mchezaji mzuri,lakini waandishi wanaona isco ni bora zaidi ya bale,hivyo wanataka isco apewe nafasi zaidi ya bale kwahiyo wanamtengenezea zengwe,ikumbukwe Modrik hayupo kikosini kwahiyo akiludi,wanatakaa Isco achukue nafasi ya bale,wanadai anapokuwepo Modrik na Isco timu Inabalance kuliko anapocheza modrik na bale..washabiki wanatengezwa Ili kumchukia bale...
 
hakuna mbinafs kama huyo ronaldo, kunya anye kuku akinya bata kaharisha ......... alinikoseshaga hela huyo bwe.ge ronaldo sina hat hamu nae, nakumbuka alitakiwa ampe benzema ndio alikua katika nafas nzuri ya kufunga akataka kushinda mwenyew matokeo yake akakosa na wakadroo hakuna aliyeongea!'
Leo timu imeshinda lakini wanaongea, kisa hajafunga! asubir magoli yake ya penalt mana ndio anayoyaweza .......... hovyooooo!

Grand PA
 
mpira kama baiskeli, ukijua umejua-julio
Hizi ni kauli za kivivu na kutopenda kujifunza maisha ni kujifunza mpira ni maisha huwezi kufikia mahali ukasema umejua. Tujaribu kuichambua hii kauli tusinukuu tu. Kauli kama hizi zimewafanya wachezaji wengi chipukizi wa Kitanzania kujenga kiburi baada ya kuambiwa "wanajua" mpira.
 
lazima utakua ulibeti
hakuna mbinafs kama huyo ronaldo, kunya anye kuku akinya bata kaharisha ......... alinikoseshaga hela huyo bwe.ge ronaldo sina hat hamu nae, nakumbuka alitakiwa ampe benzema ndio alikua katika nafas nzuri ya kufunga akataka kushinda mwenyew matokeo yake akakosa na wakadroo hakuna aliyeongea!'
Leo timu imeshinda lakini wanaongea, kisa hajafunga! asubir magoli yake ya penalt mana ndio anayoyaweza .......... hovyooooo!

Grand PA
 
umenikuna sana mjomba
Bale ni mchezaji mzuri,lakini waandishi wanaona isco ni bora zaidi ya bale,hivyo wanataka isco apewe nafasi zaidi ya bale kwahiyo wanamtengenezea zengwe,ikumbukwe Modrik hayupo kikosini kwahiyo akiludi,wanatakaa Isco achukue nafasi ya bale,wanadai anapokuwepo Modrik na Isco timu Inabalance kuliko anapocheza modrik na bale..washabiki wanatengezwa Ili kumchukia bale...
 
kuna ukweli hapa nimeuona

Back
Top Bottom