Naomba msaada nimemaliza form six nataka kwenda kusoma marekani degree ya kwanza mambo ya journalism, vipi garama zake natakiwa kuwa na m ngapi za tz kuanzia visa, tiket, na maisha ya kule yakoje. Ada ya chuo nina mfadhili tatizo mambo mengine nisaidieni faida na hasara za kusoma usa pls jf