Garama na matumizi ya ovyo kwa kina dada

ni mzuri sana kila kitu anafanya sawa na ni mkarimu wa hali ya juu kwangu hata kwa ndugu na jamaa wengine, knye mechi nimepita sehemu nyingi sana ila mechi yake ni yakiwango cha juu sana ila tatizo ndio hapo knye cash na matumizi tu pananikera

Sasa unalalamika nini??
Chagua kunyoa au kusuka....huwezi ukapata kila kitu wewe tu tena kiwe asilimia 100! Mkarimu, mcheshi, mzuri, na sifa zote ulizotangulia kumpa hapo juu!
 
ka umemzoesha mwenyewe wenzio huwa tunahonga ili kupiga then unasepa sio iiiishu.......................
 
kaka mimi ni bahili sana, ila ndio ule usumbufu wa kutaka kila wakati

mbahili ndio maana anakuomba omba. Ungekuwa unakumbuka wajibu wako kwake wala usingesumbuliwa.
Na ubahili wako huo ukija kumuweka ndani kazi unayo. Rekebisheni hiyo mambo kabla hamjaoana.
 
kuna kipindi nilitaka niachane nae ila sikupata sababu mbadala ya kumwacha zaid ya cash, nisipo mpa anakosa raha siku nzma.... Ila kitaeleweka tu
 
mbahili ndio maana anakuomba omba. Ungekuwa unakumbuka wajibu wako kwake wala usingesumbuliwa.
Na ubahili wako huo ukija kumuweka ndani kazi unayo. Rekebisheni hiyo mambo kabla hamjaoana.

Hili la ubahili hili nalo neno!!! Mwanaume mwingine hatoi wala hajui kama anatakiwa kutoa, mpaka uombe mwenyewe!!! Kwa sisi ambao ni wavivu kuomba kazi tunayo!!! Naomba hela ya saloni, naomba hela ya....duu sijui......
 
hivi wadada huwa mnaombaje pesa wanaume zenu, mi mbona siwezi au nina matatizo ya kuongea
 
Ulichosema ni ukweli kabisa na kinasumbua wanaume wengi na kwa namna moja au nyingine inatoa picha mbaya kwa wasichana kuwa hatuna utu bali kuzidiwa tamaa....nimekupa thanks yangu,uwe unaleta mada kama hizi za ukweli!!!!
 
Hili la ubahili hili nalo neno!!! Mwanaume mwingine hatoi wala hajui kama anatakiwa kutoa, mpaka uombe mwenyewe!!! Kwa sisi ambao ni wavivu kuomba kazi tunayo!!! Naomba hela ya saloni, naomba hela ya....duu sijui......

kama unafanya kazi au pesa unayo ni lazima tena mimi nikupe ndio urizike?
 
thank mamy kipenzi tunataabika sana, waambie wenzio watuonee japo huruma kidogo
 
kama unafanya kazi au pesa unayo ni lazima tena mimi nikupe ndio urizike?

Yap, unatoa kwa mapenzi tu, tena unaweza ukatoa wala nisiitumie ukashangaa tukaitumia tena pamoja.
Cha muhimu usiwe na mkono wa birika!!!
 
pamoja na kutaka kuoa ila inabidi umpe somo la kutosha, yaani awe mpangiliaji mzuri maana humo ndani ikitokea amekosa hio pesa unafikiri atafanyaje na alishazoea kila akihitaji anapata?
 
Yap, unatoa kwa mapenzi tu, tena unaweza ukatoa wala nisiitumie ukashangaa tukaitumia tena pamoja.
Cha muhimu usiwe na mkono wa birika!!!

ukimpa zote kujipodoa mafuta na saloon mi natumia nae wap?
 
Kaka punguza jazba kaa na shemwetu wa ukweli umfahamishe kama kipato chako ni kidogo. mpe bajet ya mwezi mzima. lakini kama una uwezo huo mbona pesa ndogo sana. mwanamke anamatumizi mengi tofauti nasisi mkuu. usisahau kila anavyo pendeza ni kwaajili ya matunzo yako. kamaunampenda hayo ndio mapenzi ya kweli? laki mbili na 45 unalalamika unampenda kweli mwenzako?
Naamini kabisa starehe ni gharama lakini siku hizi wakina dada (wepenzi wetu) wamezidi kutunyonya yeye siyo mke wangu siyo mwanangu wala siyo mama yangu lakini invoice/bill yake kwa mwezi ni kubwa kuliko ya mtu mwinge je nitakapo muoa itakuwaje!

wakina dada muwe na huruma kidogo mimi saloon kwa mwezi natumia 4,500/= yeye zaidi ya 45,000/=
mama yangu mzazi namtumia 20,000/= kwa mwezi kijijini huyu demu anataka zaidi ya 200,000/= za matumizi yake binafsi

mimi navaa kiatu kimoja kwa mwaka yeye kila mwezi anataka kiatu kipya na pamba mpya

bado hujaweka mafuta, perfum, sabuni, outing (knye kunywa atagiza vya bei ya juu hata kama hajawah kuviona) , nk
pengine hata kipato changu anakijua lakini atakavyo kubana hadi sent ya mwisho.

JAMANI MTATUUWA KABLA YA WAKATI TUNACHOKA BASI TU HATUSEMI TUNAKUFA NA KITANZI SHINGONO MUWE NA UTU WA UBINADAMU
 
Mishell heshima yako mkuu mimi kwa uono wangu sidhani kama mpenziwako wa dhati anaweza kukufanya ITM au kukukomoa wakati anajua kipato chako hapo mkuu kaficha kitu shem anajua kabisa kuwa laki2 uwezo upo ingelikuwa haupo asingetumia hivyo angepunguza bajet lkini zipo siameweza kutoa angekuja hapa akasema kuwa chem anataka hiyo lakini kashindwa kumtizia hapo tungesema kweli hampendi lkini kisha timizia kwahiyo uwezo huo upo ni lazima ampe kama LCD alvyo sema anaweza akazitumia nayeye sikunyingine
Ulichosema ni ukweli kabisa na kinasumbua wanaume wengi na kwa namna moja au nyingine inatoa picha mbaya kwa wasichana kuwa hatuna utu bali kuzidiwa tamaa....nimekupa thanks yangu,uwe unaleta mada kama hizi za ukweli!!!!
 
Naamini kabisa starehe ni gharama lakini siku hizi wakina dada (wepenzi wetu) wamezidi kutunyonya yeye siyo mke wangu siyo mwanangu wala siyo mama yangu lakini invoice/bill yake kwa mwezi ni kubwa kuliko ya mtu mwinge je nitakapo muoa itakuwaje!

wakina dada muwe na huruma kidogo mimi saloon kwa mwezi natumia 4,500/= yeye zaidi ya 45,000/=
mama yangu mzazi namtumia 20,000/= kwa mwezi kijijini huyu demu anataka zaidi ya 200,000/= za matumizi yake binafsi

mimi navaa kiatu kimoja kwa mwaka yeye kila mwezi anataka kiatu kipya na pamba mpya

bado hujaweka mafuta, perfum, sabuni, outing (knye kunywa atagiza vya bei ya juu hata kama hajawah kuviona) , nk
pengine hata kipato changu anakijua lakini atakavyo kubana hadi sent ya mwisho.

JAMANI MTATUUWA KABLA YA WAKATI TUNACHOKA BASI TU HATUSEMI TUNAKUFA NA KITANZI SHINGONO MUWE NA UTU WA UBINADAMU

huyo anayekupelekesha hivyo ni beauty kiasi gani?
 
Hili la ubahili hili nalo neno!!! Mwanaume mwingine hatoi wala hajui kama anatakiwa kutoa, mpaka uombe mwenyewe!!! Kwa sisi ambao ni wavivu kuomba kazi tunayo!!! Naomba hela ya saloni, naomba hela ya....duu sijui......
kwa sisi wavivu mwenzangu tutajimuvuzisha mapema kabla havijachacha.
 
Back
Top Bottom