Garama na matumizi ya ovyo kwa kina dada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Garama na matumizi ya ovyo kwa kina dada

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Dr wa ukweli, Mar 1, 2011.

 1. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Naamini kabisa starehe ni gharama lakini siku hizi wakina dada (wepenzi wetu) wamezidi kutunyonya yeye siyo mke wangu siyo mwanangu wala siyo mama yangu lakini invoice/bill yake kwa mwezi ni kubwa kuliko ya mtu mwinge je nitakapo muoa itakuwaje!

  wakina dada muwe na huruma kidogo mimi saloon kwa mwezi natumia 4,500/= yeye zaidi ya 45,000/=
  mama yangu mzazi namtumia 20,000/= kwa mwezi kijijini huyu demu anataka zaidi ya 200,000/= za matumizi yake binafsi

  mimi navaa kiatu kimoja kwa mwaka yeye kila mwezi anataka kiatu kipya na pamba mpya


  bado hujaweka mafuta, perfum, sabuni, outing (knye kunywa atagiza vya bei ya juu hata kama hajawah kuviona) , nk
  pengine hata kipato changu anakijua lakini atakavyo kubana hadi sent ya mwisho.

  JAMANI MTATUUWA KABLA YA WAKATI TUNACHOKA BASI TU HATUSEMI TUNAKUFA NA KITANZI SHINGONO MUWE NA UTU WA UBINADAMU
   
 2. T

  The Lady Member

  #2
  Mar 1, 2011
  Joined: May 22, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inawezekana amekuona huna nia njema na yeye ndo maana ameona ale chake aende zake, cku ukichoka wala hatalaumu. Maana ninavyojua mie na uelewa wangu mdogo, mapenzi sio biashara. kwani yeye hana shughuli inayomuingizia kipato hadi wewe uprovide kila kitu? maana hata kama hana shughuli, ni bora umtafutie kitu cha kufanya (kama unaona ni wa future) ili asikiusumbue ni vimatumizi vya 45,000, mara 200,000/ ambazo ni pesa ndogo sana hizo kuharibu utu au uaminifi kati yenu. Cha msingi we mtafutie business afanye ili nawe usiwe analalamika matumizi yake naye hataomba labda kwa dharula.
   
 3. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  anaupendo sana kwangu hata kwa ndugu zangu hadi ndugu zake wanajua ni mtu wangu pamoja na mama yake ananijua sana, bness nimemfungulia hakuwa siriaz nayo na haina faida natamani nayo niifunge, coz bness nimemfungulia bado pesa za matumizi nampa hadi ped
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kama ana kazi au chochote kinachomwingizia pesa inawezekana anakukomoa!Sijui kama hua anakuulizaga au unampa tu mwenyewe ila anza kwa kupunguza kiasi unachompa!Ikitokea akakuuliza mbona zimepungua mwambie imekubidi kupunguza kidogo kwasababu kuna mambo mengine unahitaji kufanya au umefikiria kuweka akiba kwa faida yenu hapo baadae!Kama ana malengo na wewe atakuelewa...asipokuelewa jua wewe ni ATM tu na huo ndo utakua muda mzuri kumwambia ATM is no more!
   
 5. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kweli vijana wa siku hizi ni wap**zi sana... yaani ushaona huyo demu ni kupe na bado unamrunusu mwenyewe aendelee kukunyonya :A S 13: sasa unataka ushauri wa nini??????? :rain::rain:
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Watu wanaolewa na kuzaa kwaajili ya pesa tu we unababaika na kufahamika kwao?Tumia pesa hizo hizo kujua anachotaka kwako ni nini!
   
 7. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  ni mzuri sana kila kitu anafanya sawa na ni mkarimu wa hali ya juu kwangu hata kwa ndugu na jamaa wengine, knye mechi nimepita sehemu nyingi sana ila mechi yake ni yakiwango cha juu sana ila tatizo ndio hapo knye cash na matumizi tu pananikera
   
 8. tracy

  tracy JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Ongea nae vizuri my dia..ila kama hafikirii bdae,it will take time kwake kuelewa.
   
 9. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280


  INAONEKANA UNAMPENDA KWA KILA KITU TATIZO HAPO KWENYE RED inawezekana ndio mapungufu yake yalipo jitahidi kukaa nae umweleze na mipango yanu ya baadae   
 10. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  huwa tunaongea vizuri then anapotezea ikipita wiki anarudia palepale money money money, kumpenda nampenda kama angekuwa hapend cash angekuwa mwanamke mzuri kupita maelezo
   
 11. V

  Vumbi Senior Member

  #11
  Mar 1, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 191
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hivi kwa nini kijana unauwezo wa kumgharamia binti fedha zote hizo na huku unampenda halafu hutaki kuoa? punguzeni fikra potofu kuwa kuoa kunarudisha nyuma maendeleo au ni kikwazo kwa mambo yako. Kama binti umempenda na umeridhika nae ni heri kumoa kwani kuna faida nyingi za kuishi na mke kuliko kuwa na binti kama kimada. Nakushauri kama huyo binti umeridhika nae kama unavyo-jieleza muoe na hizo gharama hutaziona kwani atakuwa ni sehemu ya maisha yako.
   
 12. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #12
  Mar 1, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Oa weka ndani yote hayo yatakwisha
   
 13. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #13
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  leo naenda kumwambia, no more money nataka ndoa kwanza
   
 14. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #14
  Mar 1, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kumbe ulikuwa hujamwambia?? Hujatenda haki kabisa fasta
   
 15. czar

  czar JF-Expert Member

  #15
  Mar 1, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 340
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Utampa mpaka payslip na bado ataenda nje ukome. Aliyekwambia kupenda ni kutoa sana nani? Tatizo mwenyewe unatoa halafu unasema usijali zikiisha niambie sasa unalalamika nn? Jikaze kisabuni.
   
 16. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #16
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kaka mimi ni bahili sana, ila ndio ule usumbufu wa kutaka kila wakati
   
 17. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #17
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  mwenyewe anajua ni my wiife to be, ni muda tu ulikuwa haujafika kutokana na mila na destur zetu na wakat
   
 18. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #18
  Mar 1, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kumbe fanya fasta sasa mambo yaishe kieleweke
   
 19. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #19
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kuoa siyo kitu ya siku moja natakiwa nijipange vizu ni process za muda kama six month kuanzia sasa
   
 20. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #20
  Mar 1, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Chapa then Kimbia.
   
Loading...