Garage ya uhakika ya Bajaj aina ya TVS

Garage ya uhakika ya Bajaj aina ya TVS

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1,099
Reaction score
438
Wadau,kuna mtu anamfahamu fundi yoyote mzuri wa kuweza kutengeneza Bajaj aina ya TVS mana nna Bajaj ambayo nlinunua kwa mtu na kila siku ni majanga,mana mara leo Brek,kesho plug na kesho kutwa inakunywa mafuta meng,nahitaji msaada.

Nawasilisha
 
Uza!!!
 
Kaka kumuuzia mtu kitu ambacho kina matatizo sio vizur mana hata wewe nkikuuzia utanlaan baadae
Pole sana mkuu, ndio shida ya kununua used. Ikarabati uiuze ndio suluhisho pekee, usidhani itakuja kutengemaa kama mpya, jiulize kwanini jamaa alikuuzia!
 
kama upo dar,nenda barabara ya nyerere,kuna kituo kinaitwa ngozi,kuna uchumi supermarket ulizia mtu yeyote ilipo gereji ya TVS,atakuonyesha,ndio agent wa tvs kwa hapa tz,na kuna mafundi wazuri na spare zao zote ni genuine.
 
Ahsante sana mkubwa kwa taarifa.nashukuru sana
 
Wadau,kuna mtu anamfahamu fundi yoyote mzuri wa kuweza kutengeneza Bajaj aina ya TVS mana nna Bajaj ambayo nlinunua kwa mtu na kila siku ni majanga,mana mara leo Brek,kesho plug na kesho kutwa inakunywa mafuta meng,nahitaji msaada.

Nawasilisha
Usirudie tena kununua bajaj used.
 
Haya kaka ila amini kua kila mtu anajifunza kwa kukosea na kama huamini then kuna yako yatatokea na utaamin
 
Back
Top Bottom