Ganja hiyooo

mwl

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
1,101
Reaction score
914
Wavuta bangi wawili walikaa wakiangalia jengo refu Dar, mmoja akamuuliza mwenzake, hivi ukiruka kutoka juu mpaka chini utachukua siku ngapi? mwenzake akamjibu kuwa ni siku 3. akauliza, oya ukifika chini utakufa?. akajibiwa lazima ufe kwani siku 3 huli wala hunywi si utakufa mshkaji.
 
Duh jamaa walipuliza kijiti cha MALAWI.
 
Dah, Hicho Kitu ni cha Zimbambwe Duh!
 
mbona jokes za ganja zimemwagika nyingi ghafla? kuna kaupepo gani? but they are funny...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…