Games za computer

marandu2010

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2010
Posts
1,201
Reaction score
446
Habari wakuu,naomba msaada wa magemu ya computer kama fifa,racing,mission,action n.k,nina external hard disk ya 500gb,na nitakufuata popote ulipo dar es salaam,natanguliza asante
 
Cheki na huyu mdau kwa PM.........
 
kaka game mimi ndio ugonjwa wangu mkubwa....nimesha cheza game nyingi sana kuanzia mwanzo mpaka majina(A-Z)humu hatuwezi kuongea sana tutafutane namba yangu 0655200004
 
kaka game mimi ndio ugonjwa wangu mkubwa....nimesha cheza game nyingi sana kuanzia mwanzo mpaka majina(A-Z)humu hatuwezi kuongea sana tutafutane namba yangu 0655200004

hapana shaka kaka,nachukua no yako,na muda si mrefu nitaruka hewani.
 
ngoja nikupe stori kidogo kama mzuri sana katika computer game......uzifahamu game zifuatazo Need 4 speed mostwanted,need 4 speed carbon na need 4 speed undercover?kifupi hizi game zote ni sawa na sinema yaani tunazungumzia kama sehemu 1,2 na 3.picha lenyewe linaanza katika need 4 speed mostwanted,humu ndani kuna watu wanaoitwa blacklist wapo 15.
1.clarence callahan a.k.a Razor(BMW M3 GTR)
2.yumi(mitsubishi lencer evolution viii)
3.ronnie(marcedes-benz slr mclaren)
4.JV(ford GT)
5.webster(corvette C6)
6.ming(LAMBOGHIN GALLADO)
7.KAZE(PORSCHE 911 CARRERA S)
8.JEWELS(LOTUS ELISE)
9.EARL(MAZDA RX-7)
10.BARON(PORSCHE CAYMAN S)
11.BIG LOU(MARCEDES-BENZ SL 500)
12.IZZY(FORD MUSTANG GT )
13.VIC(RENAUT CLIO V6)
14.TAZ(AUDI 3.2 FSI QUATTRO)
15.SONNY(VW GOLF GTI)
hawa watu ndio watu wanao control mji mzima katika kamari upande wa mbio za magali(magangwe)unaposhindana na hawa watu(blacklist) na ukawashinda ujue unatafuta balaa town na unapo mshinda razor blacklist no 1 mzozo unakuwa mkubwa na wote wanaamua kukufukuza na mkiwa mnakimbizana razo anapata ajari na mshkaji wake razo ambae polisi anaitwa sgt CROSS anaamua kukukimbiza na mnapoanza kufukuzana tu na CROSS game inaisha na unapoianza need 4 speed carbon mnaonekana mnafukuzana tena na CROSS mpaka unapomkimbia kwa kugonga roli lililobeba mabomba makubwa na yanapolomoka na kumziba CROSS na wewe kukimbia....
 
Hata mi ni mlevi sana wa gemu za kompyuta. Nitafurahi nikipata kama tatu hivi ambazo ni challenging kabisa
 
mkuu kwa upande wa game za vita umeshacheza CALL OF DUTY(zote) ,SNIPER THE ART WAR,VEGAS 6,DELTA FORCE ZOTE na kwa upande wa race anza na hizi mbili need 4 speed mostwanted na need 4 speed carbon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…