Haya kila mtu achangie kwa uwezo wake na atakae onekana kuandika kitu chenye mvuto zaidi ya wengine nitampatia zawadi personaly....
Unatakiwa kutyp neno Ujanja ni....alafu unatuwekea maelezo kwa ufupi!
Mfano: Ujanja ni kuishi bila kunywa pombe!
Ookey
1....2....3.....le goooo!