Game ya computer iliyonivutia


Nimepreview games nyingi ila kama GTA San Andreas sijaona. Story kali kulioko maelezo coz huyo mchizi Carl Johnson anapiga mishe mpaka najihisi kama ndo mimi naishi ndani ya computer. Story yenye coordination nzuri kupita nyingi nilizoona, Full ugansta full maujanja mpaka raha.
Nyingine ni Age of Empire ambapo mtu mzima unapanga vikosi unafanya maendeleo ya kiuchumi then unampa kipigo adui! unaweza ukajihisi wewe ni army commander.
Dirt 3 feel the real racing heat right at your home!!
 
Hitman assassins
Hitman codename 47
Hitman Blood money
Igi2 zote nimemaliza
 
Wakuu kuna hili game NEED FOR SPEED MOST WANTED. game linaonekana kali sana lakini kulianza tu ni shida... Naomba anaejua namana ya kulianzisha anielekeze. Maana naishia kwenye neno drive to the jacks spot. Kuna saa nilibahatisha kufika kwenye jack spot nikashidwa ku choose destination kwa ajili ya racing.
 
GTA SA ninzuri kwa maana ya stori yake lakini kwasasa graphics zake ovyo sana zimepitwa na wakati sana
check na GTA 5
 
Sijui kwako ikoje lakini mimi nilidownload torrent kama rar kisha nika extract then nabofya tu icon ya game inanipeleka nichague aina ya race then nachagua gari kisha inaanza
 

Bos naomba nijuze vizuri juu hii kitu, naweza kuipata wap apa tanzania? Na je kinyume na games naweza kufanyia kaz zngine heavy kama graphics design?
 
GTA SA ninzuri kwa maana ya stori yake lakini kwasasa graphics zake ovyo sana zimepitwa na wakati sana
check na GTA 5
GTA V umesema! Ila GTA IV story mbovu!!
Mastaring watatu si mchezo! hivi ya PC imeshatoka?!
 
Bos naomba nijuze vizuri juu hii kitu, naweza kuipata wap apa tanzania? Na je kinyume na games naweza kufanyia kaz zngine heavy kama graphics design?

kwa tz sina uhakika wapi utapata na kina mpaka configuration za i5 intel hasswell na ram 16gb ambayo nafkiri unafanya hivyo vitu ila na bei ndio inapanda config zikiwa kubwa
 
kwa tz sina uhakika wapi utapata na kina mpaka configuration za i5 intel hasswell na ram 16gb ambayo nafkiri unafanya hivyo vitu ila na bei ndio inapanda config zikiwa kubwa

Asante bos
 
Hizo mashine ziko poa tatizo mkasi wake, hapo unaongelea milioni nne..
afu tatizo laptops huwezi ku-upgrade kitu kama GPU ndo maana napenda desktop ikitoka GPU au processor mpya nabadilisha...

kweli bwana. Kuna hizi workstation desktops, nyingi zina processor za intel xeon, zinaweza kufanya kazi nzuri ila inabidi kuongeza graphics card. Na gharama zake ni ndogo.
 
nilisha cheza game nyingi ila Euro Truck Simulator ni mwisho na nyingine ambayo ninaipenda na hata waboreshe vipi awanishawishi ni GTA3
 

tumia keypad za screen kusolve huo msala wa destination...uta press number six kwa hzo screen keypad then ur done.
 
mkuu Aleyn nitapata wapi hiyo call on duty?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…