Game ya computer iliyonivutia


chief hiyo Picha ni ya nini, ni kifaa gani hiko?
 
Kwa aliye tayari, ni-sms 0714-408238 ili uniuzie kila game kwa elfu 2, cd ya ku-burn juu yangu. Nahitaji sana hzo game. Nipo dsm. Natanguliza shukrani wakuu.

unataka Game zipi? Mimi nitakupatia bure.
 
Fifa14,NFS Rivals ila Call of duty Ghosts ndio imeua kabisa!!! Raha ya kucheza hizi games ucheze kwenye consoles sio pc...
 

Attachments

  • 1406239238948.jpg
    44 KB · Views: 140
  • 1406239279633.jpg
    57.1 KB · Views: 133
mimi magame yenu ya vurugu siyawezi nacheza sana rpg ambazo ni turn based strategy nimeshamaliza skull of shougan, fire emblem series yote (kasoro awakening), final fantasy series, summoning night na ancient empire. ila favourite game langu ni fire emblem, story yake, jinsi charachter wanavyolevel up, graphic zake na support ya community ni out of this world.
 
MIMI NAOMBA KUULIZA. JE ALIENWARE NA KUMPUTER KAMA HIZO, ZIPO BONGO AU BADO..................??????:A S embarassed:
 
computer za sasa za kisasa zinazoreplace desktop badala ya kununua mdesktop mkubwa unakanunua hako kadogo.


Hii pc ndogo sidhani kama inaweza ingiza graphics card nzuri na kubwa kama gtx 750 ti..too small kuwa upgraded heri kubaki na tower..
 
Wekeni link jaman na sisi tu download hayo magame
 
Hii pc ndogo sidhani kama inaweza ingiza graphics card nzuri na kubwa kama gtx 750 ti..too small kuwa upgraded heri kubaki na tower..

yeahh zipo zenye iris sio best graphics kushinda zote ila zitacheza game zote zilizotajwa kwenye hii thread
 
yeahh zipo zenye iris sio best graphics kushinda zote ila zitacheza game zote zilizotajwa kwenye hii thread

Mmmmmh mkuu hebu tueleze specs zote za hii mini... Ina processor yenye core ngapi na graphics card kiasi gani....
 
Vip kuhusu dell inspiration kwa game kama fifa series iko poa?
 
Mmmmmh mkuu hebu tueleze specs zote za hii mini... Ina processor yenye core ngapi na graphics card kiasi gani....

zipo zenye
1. intel atom (processor ndogo ya kuangalizia movie tu)
2.intel i3
3.intel i5
4.intel i7
5. hasswell series(4th generation i3 na i5)

bei nayo inarange usd 100 hadi 600 inategemea na configuration ya specs

kwenye graphics hizi nuc zinatumia integrated card za xxxx series kuna 4400, 4000, 5000 series, hizi ni graphics za kawaida tu sio special sana. na hata intel sio maarufu linapokuja suala la graphics za pc.

kama unataka mini pc zenye graphics kubwa sana kuna za amd zenyewe zinaitwa saphire edge series zinakuja na radeon xxxx ambayo hapa utaanza kuenjoy graphic kubwa kidogo. saphire edge bei inaanzia dola 400 lakini ni full pc haihitaji kuinunulia kitu cha nyongeza kama nuc

ila still radeon italag kwenye games kubwa.

pia kuna oem wengi wanatengeneza hizi mini pc kuna gigabyte, asus na wengineo. hawa gigabyte wao ndio wana highend mini pc ila bei mkasi inafika dola 500 hadi 600 ila ukitafuta unapata chini ya dola 500.

unaweza igoogle iris pro 5200 uone perfomance yake hizi ni baadhi ya games na fps zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…