NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,275
Nataka ni nunue laptop ambayo iko vizuri katika kucheza gemes..laptop gani ni nzuri mkuu.
Mkuu nina maswali yafuatayo
1. Hiyo bf4 nimecheza single prayer( offline) haikuchukua hata muda misssion zikawa zimeisha au kuna kitu nilikosea?
2. Mashine nzuri kama unavyopendekeza inaweza nigharimu kiasi gani?
3. Vipi TV za kawaida(LED ) kama sony au samsung 32'zina refresh rates za kutosha? Kwa ufupi ni nzuri?
Far cry 1, 2, 3 ni Mwisho wa matatizo. High Graphics, Inaweza kucheza kwenye mashine nyingi. Then kama unapenda kudrive poa kama unapenda vita poa. napenda sana siraha zake.
BF4 ukicheza campaign kuna missions kama unaenda straight unaweza ukamaliza kama baada ya 6-8hours hivi..
Machine nzuri inabidi upange sio chini ya milioni... kuhusu monitor inabidi uangalie mwenyewe, hao hao manufacturers wanazo ambazo ni nzuri na mbaya.. inabidi uangalie hua wanaandika refresh rate, kwa TV mara nyingi hua zinaishia 30Hz which is very low, angalau ukipata kuanzia 60kwenda juu, nitarecommend 120Hz kwa ajili ya gaming, angalia na latency issues angalau 5ms hadi 1ms hizo zinaweza kuswitch faster sana kuepusha motion blur..
Far cry 1, 2, 3 ni Mwisho wa matatizo. High Graphics, Inaweza kucheza kwenye mashine nyingi. Then kama unapenda kudrive poa kama unapenda vita poa. napenda sana siraha zake.
Dangerous dave na supermario zile 8bit, zilikuwa awesome, ivi zinakubali kwenye mashine za kisasa? Nataka nijikumbushe