Game Theory, FMESS


Mkuu,

Usiwalaumu sana huwezi jua pengine wanaweza kuwa wamenyamazishwa maana njii hii ina mengi. watu hawa FMES na GT wanaingia katika vikao vizito vya nchi na kutupa details unaweza kuta wameshughulikiwa sasa wamebakia kimya. Namkumbuka FMES na vikao cha chama ninamkubali binafsi. GT kwa kufichua maovu he deserve his/her credit.
 
Ukweli ni kwamba JF imegubikwa na cheap politics siku hizi, watu wamekuwa wavivu kufikiri na hakuna constructive thought ambazo zinakufanya uogope kuanzisha majadiliano kama upo shallow.

Vijana wengi wamejiunga na wanadhani hapa ni makao makuu ya CDM. Vijana wengi ambao tulihama kutoka youngafrican kuja hapa wamepotea na kuacha maana hakuna mishemishe kama ya zamani.
 
JF ya sikuhizi sio ile ya zamani. Lakini sidhani kama hawa members wame quit moja kwa moja, ila kuna majibu saa nyingine unapewa humu, inabidi kwanza ukanywe chai.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…