Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,138
Daa naanza kuisaka aisee, nijionee.Kibongo bongo wengi tulizoea kuangalia series za kimjini mjini na kisasa zenye mateknolojia nk
Hata mimi niliangalia episode ya kwanza sikuelewa nikaipotezea
Nilipopata muda nikairudia with english subtitles
Daah bonge moja la series, hapa naona kama siku 7 mbali jinsi nilivyo miss vituko na vitimbwi
Nimeona aisee upanga wa John snow umetumbukizwa kwenye barafuKuna teaser ya mwisho HBO wameitoa wadadafuzi wanatafsiri kama whaite walker atashinda na kuua wote
Aiseee hiii ni series bora kuwahi tokea.Ndo series ambayo unaweza kuwa unaingalia huku ukiperuzi google kuelewa matukio kwa undani zaidi[emoji23][emoji23][emoji23].Umekosa uhondoooHii series ilinishinda sijui kwanini
Happiness is a choice
Hii series ina mambo ya kugegedana??
Aiseee hiii ni series bora kuwahi tokea.Ndo series ambayo unaweza kuwa unaingalia huku ukiperuzi google kuelewa matukio kwa undani zaidi[emoji23][emoji23][emoji23].Umekosa uhondooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Zaaina hii huwa ngumu kuzielewa mwanzoni kama ilivyo Viking. Jaribu tena utaipenda.Niliichek mwanzo kabisa mkuu, mara mtu anakimbizwa, mara wanakutana na maiti zimelala, mara anakamatwa na kukatwa shingo kwenye gogo daa nikaachia hpo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliishiaga season 1 sikuendelea nayo!pale yule dogo alipowafuma wale watu wanasex halafu akadondoshwa kwenye korongo,nikaona hii GOT itanifundisha mambo ya ajabu!