omary khamis
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 402
- 77
Nawezaje kuweka game la mpira kwenye pc?
Mkuu uko sahihi kabsa na je ni site ipi ambayo naweza kuitumia ili niweze ku-download?download game la mpira kwanza zuri linalo endana na ukubwa na sifa za pc yango kisha ikitokea tatizo ndo uulize
Ocean of GamesMkuu site gan ambayo naweza download game kwa urahis
Bora nimeona profile yako hivi kwenye hizo site naweza pata game ya call of duty yenye GB ndogo au kama unajua zuri nishirikishe mkuu.
Ushatafuniwa inabidi ujiongeze kiongozi, ingia uko kuna search bar, games za gb tofauti tofauti zipo zote.bora nimeona profile yako hivi kwenye hizo site naweza pata game ya call of duty yenye gb ndogo au kama unajua zuri nishirikishe mkuu.
Sawa thanks.ushatafuniwa inabidi ujiongeze kiongozi, ingia uko kuna search bar, games za gb tofauti tofauti zipo zote
Uncompressed kwenye ocean of games sahau kubwa tu zipoushatafuniwa inabidi ujiongeze kiongozi, ingia uko kuna search bar, games za gb tofauti tofauti zipo zote
Njoo tufanye biashara ya unlimited internet.sema magame yana size kubwa sana. kama mtu ukipata unlimited network ni safi sana
Me pia I want this mkuuNjoo tufanye biashara ya unlimited unternet
Njoo inboxMe pia I want this mkuu
Iyo ram sio recommended sahau maybe ucheze kwa Ku ganda ganda au low setting na Kama huna GPU nzuri ndo kabisaaDaa ivi wakuu iyo pes 2018 ktk pc yangu ya acer aspire core i3 itacheza kweli ram 4 gb hdd 1 tb
tukija tatizo lenu mnatulazimisha kutuuzia vifurushi vya gali wakati vya bei poa vipo tena speed ya kuridhishanjoo tufanye biashara ya unlimited unternet
BEI NI RAHISI MKUUtukija tatizo lenu mnatulazimisha kutuuzia vifurushi vya gali wakati vya bei poa vipo tena speed ya kuridhisha