Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,432
- 73,078
Waliokusanyika pale shuleni Arusha kutoa na kupokea rambirambi tena kikao cha ndani katuma polisi wawakamate eti sio mkusanyiko halali. Lakini pia akaagiza wale wazazi wafiwa wasikamatwe.
Jee wale walikusanyika wao kihalali? Pale ni nyumbani kwao? Hii inaonyesha tuu kuwa alijua afanyacho sio halali na kama kamatakamata hiyo itawahusisha na wale wazazi basi moto utamuwakia kwa nchi nzima, lakini yeye mlengwa wake mkubwa ni Meya na hao madiwani.
Sasa ni wazi kuwa Arusha rambirambi zililiwa, na sio Gambo pekee bali kuna chain ndefu ya mchongo huo na sio ajabu tukiyajua majina tutabaki vinywa wazi.
Viongozi hawa wa kuteuliwa mbona wanajivunjia heshima na zaidi wanaivunjia heshima serikali ionekane ya kihuni?