Gambling company

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
WAKUU
katika kuangalia angalia zangu Euro hapa nikapata mawili matatu ambayo nimeona yanaweza kuzaa idea ya biashara ambayo nikaona sio mbaya kuja ku share na wakubwa/ wadogo zangu hapa kwanza kabisa naomba kuuliza je sheria za nchi yetu inaruhusu biashara ya gambling / beting
tumeona ulaya kuna makampuni ya bet365, betfair, bwin n.k
je kama ni wanaruhusu hatuoni kuwa ni moja ya chance ya biashara ambayo naona africa Tanzania ikiwepo haitiliwi maanani??
kuna vitu vingi vya ku bet kama vile

michezo kama football n.k
mashindano ya nyimbo bss, tusker project fame n.k
mashindano ya urembo like ms tz n.k
bba
uchaguzi midogo na mikubwa
na vitu vingine vingi tu
NAWASILISHA
 
Weeee! uki-bet Bongo utaliwa, matokeo ya chaguzi, ya mechi, sijui miss tz, BSS vyote mkuu vinachakachuliwa na rushwa kama sio pesa basi ngono. I dont advice at all.:israel:
 
Hiyo biashara iko complicated kuliko unavofikiria au kuiona kwa nje!!
Fikiria, ukifanya "fareplay", watu wanapo-bet ina maana na wewew ni kama unabet na kuombea watu wasipatie. Ni sawa na kamari, ukichezesha kiuhalali utalia kila siku, mpaka ufanye mambo huko nyuma ya pazia! Jaribu kuingia ndani zaidi ujifunze mambo, kitu ambacho sidhani kama ni rahisi. Mambo ya Kisheria wasiliana na mamlaka ya michezo ya kubahatisha!
 
Back
Top Bottom