Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,230
- 10,201
Rais mwneye Vimbwanga vingi ametangaza kuwa Ijumaa itakuwa ni non - working days kwa wafanyakazi wa Serikali.
Amesema hii itawawezesha Raia kupata muda wa kutosha katika masuala ya Familia zao na Ya kijamii kwa Ujumla.
Pia ameongeza kuwa hii itawafanya Raia wake kupata muda zaid wa kulima mazao yatakayowawezesha kujipatia chakula na kuwa na afya Njema.
Kwa wale wa sector Binafsi amesema kuwa wako huru kupumzika ama kuendelea ila akasema kuwa hawatakuwa na nafasi ya
kufanya shughuli yoyote na Ofisi za Umma.
Source : Sauti ya Ujerumani na hapa chini pia
http://www.nydailynews.com/news/wor...troduces-three-day-weekends-article-1.1253581
cc Ritz , zomba , chama na Wanazi wote wa JetfastMkwer.e,
Msimuoneshe hii Habar maana alivyo mdini hakawii kutunga Safari ya Gambia kutaka ku Learn hii Policy inakaa vp ili aje kui implement Tanzania