Gambia iunde serikali ya Mseto

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,379
Kwa hali ilivyo Gambia ni vyema, Gambia ikaunda SERIKALI ya Mseto ili kunusuru mapigano na fedheha kwa bara la Afrika.

Deogratius N Kisandu
 
Senegal lazima wamuweke Mmandika mwenzao Barrow

Jammeh hakubali foreigner Mmandika achukue nchi
 
serikali ya mseto ya kazi gani wananchi washasema kupitia sanduku la kura? hivi hili jeshi la ecomag halina mandate na maeneo kama uku kwetu east africa maana tuna wengi walishinda sivyo ndivyo wamekomaa kama jemmah nao nadhan zaid ya nguvu sidhan kama kuna namna nyingine ya kuwatoa!
 
Kwa hali ilivyo Gambia ni vyema, Gambia ikaunda SERIKALI ya Mseto ili kunusuru mapigano na fedheha kwa bara la Afrika.

Deogratius N Kisandu

Mkuu, Yahya Jammeh yupo anakoga kujiandaa kuondoka, maana amebakia peke yake kama raisi, waziri jaji mkuu wa majeshi, balozi na mbunge.

"Its too little too late".
 
Kwa hali ilivyo Gambia ni vyema, Gambia ikaunda SERIKALI ya Mseto ili kunusuru mapigano na fedheha kwa bara la Afrika.

Deogratius N Kisandu
Mseto wa NINI!! ECOMOG iingie na kumngoa huyo Jammeh na mwishoni apelekwe mahakamani. Hakuna haja ya kuwalelea hawa wapuuzi wenye uchu wa Madaraka.
 
Senegal lazima wamuweke Mmandika mwenzao Barrow

Jammeh hakubali foreigner Mmandika achukue nchi
Typical CCM mind!! Yaani ni Ukabila, Udini na Ukanda hamna hoja nyingine zaidi ya hizo. My our Loving almighty God put to an end this Miserable Monster called CCM.
 
Watu wengine bwana , sijui mnafikiri kwa kutumia ubongo wa kondoo ndani ya kichwa cha nguruwe! Chama cha siasa ni immortal, hakina single ownership, Chama cha siasa kinapaswa kuwa cha kitaifa, hakina dini, hakina kabila, hakina ukanda, hakina rangi. Individuals wanaokiongoza ni kwa zamu. They'll come, they'll go
 
Kwa hali ilivyo Gambia ni vyema, Gambia ikaunda SERIKALI ya Mseto ili kunusuru mapigano na fedheha kwa bara la Afrika.

Deogratius N Kisandu

Kweli Demokrasia na uchaguzi zinazofanyika Tanzania zimetuathiri sana, yaani mtu kashindwa kabisa na alikiri kuwa kashindwa na alimpongeza aliyeshinda, leo wewe unawashauri wafanye serikalinya mseto kwa nini hasa
 
Senegal lazima wamuweke Mmandika mwenzao Barrow

Jammeh hakubali foreigner Mmandika achukue nchi

Huyo Rais Mstaafu aliyegeuka kichekesho kaomba msamaha kwa Makosa aliyoyafanya kipindi akiwa Rais.
Kaomba aruhusiwe kuishi kijijini kwake.
Rais Mpya Mh.Barrow kakataa na kumwambia lazima akumbane na Mkono wa Sheria.

My Note.
Viongozi hasa wa Afrika wajitahidi kutenda haki na Kuepuka Udikteta ili wakati wa kuondoka Madarakani waondoke kwa Amani.
 
Back
Top Bottom