Gambia imetoa somo Tanzania iinge.

Eberhard

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
1,120
757
Nachukulia wasaa huu kumpongeza rais wa Gambia. Pamoja na mambo yake ya ajabu ajabu aliyoyafanya mganga yule wa kienyeji ametoa mfano.

Naomba nikumbushe maneno yake. Anasema anakubali kushindwa. Wananchi wa Gambia wameaumua. Anajua kuwa Mungu ameona wakati wake umefikia mwisho na kama Muislamu analipokea hilo na kulikubali.

Naomba kuuliza Shein ni dini gani? Je maneno yake mwenzake hayamuumi. Maana anasema anaheshimu uislamu wake na anatambua kuwa siyo haki yake na anampa mwenye haki.

Jamani Kikwete dini gani? Hawajifunzi kwa mwezao?

Kwa hali iliyoko kuna dalili Magufuli kuuanguza katika uchaguzi ujao. Naomba aige mfano huu. Katika ukristo ni kiss kuchukua haki isiyo yako. Vinginevyo ndiyo hivyo mikosi lazima ikuandame. Ebu cheki leo Pamoja na mapambano yote ya ufisadi mazingira ya sasa ya nchi hii ni magumu na mabaya zaidi kuishi kuliko enzi za Kikwete.
 
Back
Top Bottom