Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,360
Upotoshwaji upi huo?mkuu asante sana kwa kunikumbusha rules japokuwa nilishazisoma maana nilikuwepo humu as guest kwa miezi 18 nimeamua kuingia baada ya kuona upotoshwaji mkubwa
Upotoshwaji upi huo?mkuu asante sana kwa kunikumbusha rules japokuwa nilishazisoma maana nilikuwepo humu as guest kwa miezi 18 nimeamua kuingia baada ya kuona upotoshwaji mkubwa
mwita?jaman si mgeni sana maana nilikuwepo kwa zaidi ya miezi 18 leo nimeamua kujoin kuunganisha nguvu ktk ukomboz...wote nimevutiwa na michango yenu but hao wafuatao ndo hasa wamenivuta kuungana nao ktk kuikomboa nchi: Rejeo, ms, mwita25, atwm52, tuntu, yo yo, thatha na wengneo.
Jaman si mgeni sana maana nilikuwepo kwa zaidi ya miezi 18 leo nimeamua kujoin kuunganisha nguvu ktk ukomboz...wote nimevutiwa na michango yenu but hao wafuatao ndo hasa wamenivuta kuungana nao ktk kuikomboa nchi: Rejeo, MS, Mwita25, Atwm52, tuntu, Yo yo, Thatha na wengneo.
ulikuwa unafanya nimi muda wote huo? Kwanini hukujiunga?Jaman si mgeni sana maana nilikuwepo kwa zaidi ya miezi 18
na mashaka na wewe na hawa jamaa.Rejeo, MS, Mwita25, Atwm52, tuntu, Yo yo, Thatha