Gamba Linapo Goma Kuvuka

Gamba Linapo Goma Kuvuka

Vumbi

Senior Member
Joined
Nov 7, 2010
Posts
191
Reaction score
27
Hii carton imenifurahisha sana.
"Gamba Linapo Goma Kutoka"

attachment.php




Gamba Lagoma KUVUKA.jpg
 
Wanachojaribu ccm kukifanya hakiwezekani, kumtenganisha rais na gamba si kitu rahisi, kumbuka alisema hawajakutana barabarani, gamba likitoka ni hatari kuliko ilivyo sasa. kumbukeni lowasa anataka kugomea uraisi 2015, akitolewa cc na nec atawezaje kupambana? na lowasa ana kila kitu cha kumweka madarakani, namaanisha kifedha na ujasiri wa kujieleza bila woga. akitoka ccm anavuruga ccm yote vivyo hivyo kwa rostam lakini yeye hana nia ya uraisi bali kuhakikisha anayekaa madarakani ni mtu wake. kwa vyovyote ataungana na lowasa kwani ana uhakika wakichanganya fedha walizonazo wataununua. ccm is falling down to the grave.
 
Back
Top Bottom