Galaxy S40

Galaxy S40

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,675
1400424254734.jpg
 
unamnunulia wife ili kumdhibiti kutembea tembea maana hatakuwa anaibeba kirahisi!lazima awepo home na mmi nakuwa nampigia mara kwa mara!
 
Ooyooo hawa machina washajua sisi wabongo ni matahira wa kupenda vitu vya anasa na kila toleo jipya basi huwa tunalipapatekia ili mradi mifuko yetu itoboke tuu maana kila kukicha model mpya na mwisho tutakuwa kama machizi vitu vya anasa tena ni gharama kubwa na kidude chenyewe ni kidogo na muda mfupi na mara utasikia imetoka koliko hiyo tena yaani ni uzuzu tu
 
Back
Top Bottom