kaburu mdogo
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 567
- 400
nimenunua galaxy s4 ni mpya nimeweka interned imekubali vizuri sana na kwenye browser ya kawaila kama opera inafungua vizuri sana.
tatizo kuu linalonikabili ni pale ninapotaka kufungua vitu kwenye play store kwa ajili ya instal kwenye simu yangu kama whatsup inagoma kufungua kwa kuniambua setting hazipo sawa au niwasiliane na customer care wanaotoa hii huduma.naomba msaada wenu juu ya hili swala jamani.