Tanki
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 538
- 248
Wakuu, nina mtu nafanyanae kazi kwenye kampuni fulani pale mikocheni. Ni kijana tu. Anaishi manzese. Huyu ndiye aliyeniuzia hii Nokia C7 yangu. Sasa jana amenipa habari kuwa ana jamaa yake ana Samsung galaxy original anaiuza kwa laki nne tu haipungui hata senti. Lakini pia akaniambia kuna Nokia E72 na Huawei kubwa ya kutachi ila model haijui. Hizi sikumuuliza bei. Sasa kwa aliyetayari tuwasiliane ili twende nikukutanishe na jamaa. TUKISHA KUTANA unaucheki mzigo kama ni original japo jamaa amesema ni original. Ukishaona kuwa iko poa ndo biashara inafanyika. Bei ni Laki nne tu. ni PM namba yako.