medisonmuta
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 2,449
- 1,536
Original...nina muda nayo mrefu...tatizo limejitokeza hv karibuniMchina huyo
Miyeyusho...nikiweka chaji haijizimi...ikijizima ww iwashe tu ukichoka unatupa unanunua nyingine
Simu yangu ya Galaxy Note3 imepata tatizo la kujizima ninapoiacha idle kwa muda. Huwa nashindwa kuwasha hadi nitoe betri na kuirudisha. Nimejaribu kununua betri mpya kwa kujua tatizo ni betri lakini bado tatizo ni lile lile. Naombeni wataalamu mnisaidie nipate ufumbuzi...

Shukrani mkuuJarbu kufanya hard reset kwanza.
Shukrani mkuuWatu wanakupa majibu ya jabu . Ni hivi: Ina overheat. Mimi ninayo ilifanya hivyo nikapeleka kwa fundi akarekebisha. Haina shida tena! lakini fundi awe very competent vinginevyo ataharibu zaidi
Shukrani mkuu
Mutalemwa(Muta) wa BK...Ila sijawahi fika BK...Medison, wewe ni nani. Sorry nina mwanangu anaitwa Medrix/medson! Muta wa wapi BK