Unajua watu hawajui kwa nini muda mwingine kampuni kama samsung na apple wanapiga bei kubwa, simu kama galaxy note 4 kuitengeneza cost zote hadi inakamilika ni kama $200, lakini wanaipiga kuanzia $800, kwanza kampuni ni world class ile wafanyakazi wengi mno, wana vitu vingi kama research kutengeneza sensors, displays etc huku kampuni nyingine wananunua kwao tu na kuungaunga, bado angalia support, samsung na apple wana support kubwa kuliko kampuni nyingine zote, apps zao kibao, online pia support kutoka kwa developers, bado services simu yako ikiharibika uende wakurekebishie, kuna kampuni nyingine hata service centers zao kupata mziki, accessories zipo, yani anything you want to do with your phone unapata unlike manufacturers wengine simu ikizingua ukitaka kitu utatafuta hadi unyanyue mikono.. Afu quality yenyewe, jamaa wanatoa vitu high quality kuanzia material yenyewe, kioo, kila kitu wanahakikisha ni grade Super... mtu aliyetumia galaxy note series original anajua utofauti wake na visimu vingine...