mkuu ipo galaxy mpya inaitwa galaxy discover with more specification kama kua na android 4 ice cream sandwitch, phone memory 4gb, ram 512, kioo cha nchi 3.5 pamoja na resolution ya 320x480 lakini bei cheap kuliko hivo vimini.
bei ya before tax ni euro 80 (160,000) so baada ya kodi na makato i expect kuuzwa laki 2 hadi 2 na nusu hapa bongo.