Habari Ndugu zangu wana JF,
Nimepata Simu ambayo ilikuwa inatumiwa Korea,numeweka line ya Tigo nikiangalia salio napata this prompt msg;
Roaming RoamingAutoDial
Sijakupata vizuri maana sijajua kama ukipiga au kupigiwa huna tatizo ila kuangalia salio tu ndio unapata huo ujumbe.
Jibu ambalo sina uhakika sana kama litakuwa sahihi sana ni kwamba baadhi ya nchi za ulaya kama sweden, Norway nk simu zinasajiliwa kutumika kwenye specific area (eneo) ukienda nje ya hapo haifanyi kazi, mimi nilikuwa nilikuwa Denmark nilipotaka kunua simu nikaulizwa unaitumia wapi, nje ya nchi au hapo ulipo
Basi kama inapokea lakini haitoi calls.. Unahitaji kuiflash, nenda kwa fundi, kama ungekua na ujuzi ungeweza kuiunlock mwenyewe maskani ila kama huna utaalamu wa kutosha na computer nenda tu kwa fundi, buku tano kumi unachomoka