Gal inakuhu

Fesibuku @work! Haya ma-gal, mwaitwa huku!
 
Wadada charminglady, cacico na Madame B achane kumzodoa Swager. Jamani wadada mnanyanyapaa kijinsia. sio haki kabisa. Acheni atumie haki yake ya kimsingi ya kutongoza kwa kutumia njia yeyote iliyo halali mojawapo ikiwa www.jamiiforums.com.

Mchana mwema.

Ndimi Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…