Na ukame huu?Acha kulia lia humu. Tumia hilo tatizo kama fursa, kopa pesa mahali chimba Maji ardhini uzia wenzio hapo, chimba underground tank la Lita hata laki 5 , kinga Maji ya mvua na ikikatika treat hayo Maji kwa water guard then anza kuuza.
Mwakani wee milionea
Wazo zuri, she should turn crisis in to an opportunity.Acha kulia lia humu. Tumia hilo tatizo kama fursa, kopa pesa mahali chimba Maji ardhini uzia wenzio hapo, chimba underground tank la Lita hata laki 5 , kinga Maji ya mvua na ikikatika treat hayo Maji kwa water guard then anza kuuza.
Mwakani wee milionea
Mkuu waonee huruma watanzania wenzako mkuu..hawakujua kama yatatokea hayaJikusanyeni kama mlivokuwa munakusanywa kipindi kile cha kampeni na kupewa kofia msubiri kupewa maji. yakae tu hata mwaka bila kutoka ndio mtaelewa kwa nini huwezi kwenda zanzibar kwa Gar japo tumeungana
Safi sanaLakini si hua mnaichagua ccm kwa kura nyingi? Iweje hata maji hampati?
Poleni sana Queen. Mbunge wenu si yule mfanyabiashara Ahmed Shabiby?Jamani huku kwetu morogoro wilaya ya Gairo kuna shida sana ya maji yaana unakuta maji yanakaa muda mrefu hayatoki kiasi kwamba ndoo moja 1500 halafu mbunge yupo Dodoma anakula bata inauma sana
Mvua iko wapiAcha kulia lia humu. Tumia hilo tatizo kama fursa, kopa pesa mahali chimba Maji ardhini uzia wenzio hapo, chimba underground tank la Lita hata laki 5 , kinga Maji ya mvua na ikikatika treat hayo Maji kwa water guard then anza kuuza.
Mwakani wee milionea
Na ukame huu?
Umeongea kishujaa sana, ila unaonaje ukafanya kama mfano wengine wakaiga?acha negative thinking.. misri jangwan na wanachimba visima.. au dubai.
hiyo ni fursa piga hela.... chimba hata mita 50000 upige hela
Nani kasema kuna ukame?Na ukame huu?