Wewe ungekuwa milionea Km ungekuwa haya mawazo unayafanyia kazi upo km watu wa Clouds na vifursa vyao uchwaraAcha kulia lia humu. Tumia hilo tatizo kama fursa, kopa pesa mahali chimba Maji ardhini uzia wenzio hapo, chimba underground tank la Lita hata laki 5 , kinga Maji ya mvua na ikikatika treat hayo Maji kwa water guard then anza kuuza.
Mwakani wee milionea