Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 6,397
- 17,585
Afadhali Israel hutoa ultimatum kwa raia kuondoka maeneo watakayoshambulia, lakini sio kama hao magaidi wanao select watu individually, na kuwapiga risasi huku wakichekelea.
Sijui kwanini unalazimisha IDF wawekwe kwenye kundi moja na hao magaidi, lile ni jeshi kamili linalotambulika kote ulimwenguni, lenye mafunzo ndio maana halina muda wa kuvizia raia mitaani, wakati Hamas ni kundi la wahuni wasio hata na sare, wanaoua watu hovyo kwa kuwateka mitaani.
- Magaidi mengi huwa hayana sare,hata yale ya kule Somalia yako hivyo hivyo.
Tabia za gaidi umeshaambiwa na mleta mada ni kuua watu hovyo bila kujali uraia wao, magaidi ni sawa na wendawazimu wenye silaha za moto, hawatumii akili zao kwenye kutenda uhalifu wao, narudia tena; afadhali ya hao IDF huua pale ambapo wameshatoa ultimatum huku wahanga wakiwa tayari na taarifa.
Siioni double standard yoyote hapo.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
God Bless IsraelGaidi hana Rafiki
Hamas washindwe na walegee!
Maana ya Gaidi ni nini?Kanuni kuu ya gaidi ni kuua yeyote. Hivyo ujue kuwa gaidi akitaka kuua tajiri, halafu maskini nao wakawepo hapo hapo, na maskini nao watauawa pamoja na huyo tajiri. Ndiyo maana yale magaidi ya September 11 kule US, hayakuuliza wala kuchunguza ndani ya zile ndege kulikuwa na wageni wangapi wala kwenye yale majengo kama kulikuwa na wageni au waislam.
Magaidi ya Hamas, hayajawaua watanzania, Waafrika Kusini, Wamalawi, Wamarekani, Waingereza na wengine wote kwa bahati mbaya. Wamefanya hivyo makusudi, na kwa kujua kabisa kuwa yanawaua watu wa Mataifa mbalimbali. Yaliwaua waafrika huku yakichukua video kwa lengo la kuhakikisha video hizo zinafika kwa Waafrika wenzao ili waogope kwenda Israel, na Israel ikose wafanyakazi wa mashambani.
Magaidi yaliyoshambulia ubalozi wa Kenya pale Nairobi, hayakuuliza humo ndanii kuna waislam wangapi au wakristo wangapi. Yaliua kila ambaye bomu liliweza kumfikia.
Magaidi ya Hamas yamewahi kuwaua wapalestina wenzao kwa madai kwa nini wanafanya mazungumzo na Wayahudi.
Magaidi ya Hizbollah yalimwua Waziri mkuu wao Rafiq Hariri kwa madai kuwa kwa nini alikuwa anawashirikisha wakristo wachache kwenye Serikali yake.
Magaidi ya Hamas, sasa yamefikia kutoa tamko kuwa yamewaua na kuwateka watu wa mataifa mbalimbali Duniani, siyo kwa bahati mbaya, bali kwa kukusudia, ili kuweka tishio kuwa ukienda Israel hupo salama. Yaani watu wote waogope kwenda Israel.
Na ndicho magaidi ya Houthi ya kule Yemen yanachofanya pia. Yanaziteka meli zinazopita kwenye ghuba ya Yemen. Lengo ni kuyafanya makampuni ya meli yaogope kupitisha meli zao eneo hilo; na kama meli hazitapita hapo, basi Israel ikose mizigo.
Ni punguani pekee anayeweza kuunga mkono ugaidi wa Hamas. Haya magaidi yanaweza kuondoa hata uhai wake yeye anayeuyaunga mkono. Chukulia unasafiri, umepanda ndege, ndani ya ndege kuna mtu ambaye haya magaidi yanamtafuta. Yakiamua kuilipua hiyo ndege, haya magaidi hayafikirii kabisa juu ya uhai wa wale abiria wengine nje ya yule wanayemtaka. Yatawaua ninyi nyote pamoja.
Urafiki qetu na mamlaka ya Palestina, haujasaidia chochote kuzuia magaidi haya yasiwaue vijana wetu. Huo ni ujumbe tosha kuwa gaidi hana rafiki, na kwamba tumekuwa wajinga kufanya urafiki na jamii hizi za magaidi.
Magaidi ya Hamas yametenda unyama wa kila aina siku ile ya tarehe 7 Octoba kule Israel. Yaliua bila ubaguzi. Na kuna uthibitisho yaliwabaka wasichama wa Israel maeneo ya mashambani, kisha kuwakata shingo. Na sasa yanajivunia kutekeleza unyama huu.
Dunia isipoungana kuyaangamiza haya magaidi ya Hamas, Hizbollah na mengine yaliyojazana hapo Mashariki ya Kati, kuna siku Dunia itajuta.
Tuombee kampeni ya Israel ya kuyaangamiza haya magaidi, ifanikiwe. La sivyo, Dunia nzima siyo salama. Angalia yalivyotusumbua kule Kibiti na Mkurunga. Fikiria huko jimbo la Cabo Delgado Msumbiji, Somalia, Nigeria, Mali, na maeneo mengine mengi.
Haya magaidi yakipata ushindi ja yakizidi kujijenga, itafika mahali yatakuwa yanashambulia nchi yoyote au kiongozi yeyote kama hayaungi mkono.
- USA hakuwaachia nchi magaidi, alitoa mafunzo ya kijeshi kwa jeshi la Afghanistan kwa karibia miaka kumi, ajabu wale jamaa bado wakashindwa kujilinda, ndipo USA akaona ujinga huu, akaondoka.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Haya Magaidi Maislamu ISIS 2.0 aka HAMAS in hatari sana. Hadi Tanzania tumepoteza vijana wawili wasiyo na hatia inaonyesha jinsi dini yao ya kishetani inavyohalalisha maovu dhidi ya binadamu WOTE wa imani na hulka tofauti.
Hatari sana.
Sawa Dada tumekusikia , ndio maana ata Israel na yeye anaweza kuua wanawake na watoto wasio na hatia kwa sababu na yeye ni GAIDI MKUBWA KULIKO HAMAS.Kanuni kuu ya gaidi ni kuua yeyote. Hivyo ujue kuwa gaidi akitaka kuua tajiri, halafu maskini nao wakawepo hapo hapo, na maskini nao watauawa pamoja na huyo tajiri. Ndiyo maana yale magaidi ya September 11 kule US, hayakuuliza wala kuchunguza ndani ya zile ndege kulikuwa na wageni wangapi wala kwenye yale majengo kama kulikuwa na wageni au waislam.
Magaidi ya Hamas, hayajawaua watanzania, Waafrika Kusini, Wamalawi, Wamarekani, Waingereza na wengine wote kwa bahati mbaya. Wamefanya hivyo makusudi, na kwa kujua kabisa kuwa yanawaua watu wa Mataifa mbalimbali. Yaliwaua waafrika huku yakichukua video kwa lengo la kuhakikisha video hizo zinafika kwa Waafrika wenzao ili waogope kwenda Israel, na Israel ikose wafanyakazi wa mashambani.
Magaidi yaliyoshambulia ubalozi wa Kenya pale Nairobi, hayakuuliza humo ndanii kuna waislam wangapi au wakristo wangapi. Yaliua kila ambaye bomu liliweza kumfikia.
Magaidi ya Hamas yamewahi kuwaua wapalestina wenzao kwa madai kwa nini wanafanya mazungumzo na Wayahudi.
Magaidi ya Hizbollah yalimwua Waziri mkuu wao Rafiq Hariri kwa madai kuwa kwa nini alikuwa anawashirikisha wakristo wachache kwenye Serikali yake.
Magaidi ya Hamas, sasa yamefikia kutoa tamko kuwa yamewaua na kuwateka watu wa mataifa mbalimbali Duniani, siyo kwa bahati mbaya, bali kwa kukusudia, ili kuweka tishio kuwa ukienda Israel hupo salama. Yaani watu wote waogope kwenda Israel.
Na ndicho magaidi ya Houthi ya kule Yemen yanachofanya pia. Yanaziteka meli zinazopita kwenye ghuba ya Yemen. Lengo ni kuyafanya makampuni ya meli yaogope kupitisha meli zao eneo hilo; na kama meli hazitapita hapo, basi Israel ikose mizigo.
Ni punguani pekee anayeweza kuunga mkono ugaidi wa Hamas. Haya magaidi yanaweza kuondoa hata uhai wake yeye anayeuyaunga mkono. Chukulia unasafiri, umepanda ndege, ndani ya ndege kuna mtu ambaye haya magaidi yanamtafuta. Yakiamua kuilipua hiyo ndege, haya magaidi hayafikirii kabisa juu ya uhai wa wale abiria wengine nje ya yule wanayemtaka. Yatawaua ninyi nyote pamoja.
Urafiki qetu na mamlaka ya Palestina, haujasaidia chochote kuzuia magaidi haya yasiwaue vijana wetu. Huo ni ujumbe tosha kuwa gaidi hana rafiki, na kwamba tumekuwa wajinga kufanya urafiki na jamii hizi za magaidi.
Magaidi ya Hamas yametenda unyama wa kila aina siku ile ya tarehe 7 Octoba kule Israel. Yaliua bila ubaguzi. Na kuna uthibitisho yaliwabaka wasichama wa Israel maeneo ya mashambani, kisha kuwakata shingo. Na sasa yanajivunia kutekeleza unyama huu.
Dunia isipoungana kuyaangamiza haya magaidi ya Hamas, Hizbollah na mengine yaliyojazana hapo Mashariki ya Kati, kuna siku Dunia itajuta.
Tuombee kampeni ya Israel ya kuyaangamiza haya magaidi, ifanikiwe. La sivyo, Dunia nzima siyo salama. Angalia yalivyotusumbua kule Kibiti na Mkurunga. Fikiria huko jimbo la Cabo Delgado Msumbiji, Somalia, Nigeria, Mali, na maeneo mengine mengi.
Haya magaidi yakipata ushindi ja yakizidi kujijenga, itafika mahali yatakuwa yanashambulia nchi yoyote au kiongozi yeyote kama hayaungi mkono.
Hata wewe kama umeshatoa mafunzo kwa jeshi zaidi ya miaka kumi na bado hawajiamini, ajabu wanawakimbia watu wasio na mafunzo ukiwaacha wenyewe, huoni kama ulikuwa ukipoteza muda kwa hiyo miaka yote uliyotoa mafunzo?sasa anaondokaje sehemu ambayo anajua watakuja kuishi magaidi na yeye amewekeza miaka nenda rudi dhidi ya hao magaidi?.... yeye na utalaam wake woote alishindwa kufanya tathmini kabla?
Hiv Marekani ni GAIDI au co GAIDIKanuni kuu ya gaidi ni kuua yeyote. Hivyo ujue kuwa gaidi akitaka kuua tajiri, halafu maskini nao wakawepo hapo hapo, na maskini nao watauawa pamoja na huyo tajiri. Ndiyo maana yale magaidi ya September 11 kule US, hayakuuliza wala kuchunguza ndani ya zile ndege kulikuwa na wageni wangapi wala kwenye yale majengo kama kulikuwa na wageni au waislam.
Magaidi ya Hamas, hayajawaua watanzania, Waafrika Kusini, Wamalawi, Wamarekani, Waingereza na wengine wote kwa bahati mbaya. Wamefanya hivyo makusudi, na kwa kujua kabisa kuwa yanawaua watu wa Mataifa mbalimbali. Yaliwaua waafrika huku yakichukua video kwa lengo la kuhakikisha video hizo zinafika kwa Waafrika wenzao ili waogope kwenda Israel, na Israel ikose wafanyakazi wa mashambani.
Magaidi yaliyoshambulia ubalozi wa Kenya pale Nairobi, hayakuuliza humo ndanii kuna waislam wangapi au wakristo wangapi. Yaliua kila ambaye bomu liliweza kumfikia.
Magaidi ya Hamas yamewahi kuwaua wapalestina wenzao kwa madai kwa nini wanafanya mazungumzo na Wayahudi.
Magaidi ya Hizbollah yalimwua Waziri mkuu wao Rafiq Hariri kwa madai kuwa kwa nini alikuwa anawashirikisha wakristo wachache kwenye Serikali yake.
Magaidi ya Hamas, sasa yamefikia kutoa tamko kuwa yamewaua na kuwateka watu wa mataifa mbalimbali Duniani, siyo kwa bahati mbaya, bali kwa kukusudia, ili kuweka tishio kuwa ukienda Israel hupo salama. Yaani watu wote waogope kwenda Israel.
Na ndicho magaidi ya Houthi ya kule Yemen yanachofanya pia. Yanaziteka meli zinazopita kwenye ghuba ya Yemen. Lengo ni kuyafanya makampuni ya meli yaogope kupitisha meli zao eneo hilo; na kama meli hazitapita hapo, basi Israel ikose mizigo.
Ni punguani pekee anayeweza kuunga mkono ugaidi wa Hamas. Haya magaidi yanaweza kuondoa hata uhai wake yeye anayeuyaunga mkono. Chukulia unasafiri, umepanda ndege, ndani ya ndege kuna mtu ambaye haya magaidi yanamtafuta. Yakiamua kuilipua hiyo ndege, haya magaidi hayafikirii kabisa juu ya uhai wa wale abiria wengine nje ya yule wanayemtaka. Yatawaua ninyi nyote pamoja.
Urafiki qetu na mamlaka ya Palestina, haujasaidia chochote kuzuia magaidi haya yasiwaue vijana wetu. Huo ni ujumbe tosha kuwa gaidi hana rafiki, na kwamba tumekuwa wajinga kufanya urafiki na jamii hizi za magaidi.
Magaidi ya Hamas yametenda unyama wa kila aina siku ile ya tarehe 7 Octoba kule Israel. Yaliua bila ubaguzi. Na kuna uthibitisho yaliwabaka wasichama wa Israel maeneo ya mashambani, kisha kuwakata shingo. Na sasa yanajivunia kutekeleza unyama huu.
Dunia isipoungana kuyaangamiza haya magaidi ya Hamas, Hizbollah na mengine yaliyojazana hapo Mashariki ya Kati, kuna siku Dunia itajuta.
Tuombee kampeni ya Israel ya kuyaangamiza haya magaidi, ifanikiwe. La sivyo, Dunia nzima siyo salama. Angalia yalivyotusumbua kule Kibiti na Mkurunga. Fikiria huko jimbo la Cabo Delgado Msumbiji, Somalia, Nigeria, Mali, na maeneo mengine mengi.
Haya magaidi yakipata ushindi ja yakizidi kujijenga, itafika mahali yatakuwa yanashambulia nchi yoyote au kiongozi yeyote kama hayaungi mkono.
Vp haya magaidi yanayorusha mabomu mpaka hospitali???Siamini kama haya magaidi ya Hamas na magaidi mengine kama yana dini. Kama yana dini basi itakuwa ni dini ya shetani, dini inayofurahia damu za watu na ubakaji. Yaani yanambaka binti, kisha yanamkata shingo!!
Kama ulivyolaaniwa na waliokuzaa piaUislamu ni laana
Eti Hamasi kundi la wahuni!!!!hicho ni chama rasmi cha siasa ambacho kilipata ushindi kwa njia ya kidemokrasia kabisa,ila kwa chuki mlizo nazo wanayofanya hao mazayuni mnaona kawaida tu....ila uzuri Allah ameshasema wazi hawatowaridhia mayahudi na wakristo mpaka mfate mila zaoAfadhali Israel hutoa ultimatum kwa raia kuondoka maeneo watakayoshambulia, lakini sio kama hao magaidi wanao select watu individually, na kuwapiga risasi huku wakichekelea.
Sijui kwanini unalazimisha IDF wawekwe kwenye kundi moja na hao magaidi, lile ni jeshi kamili linalotambulika kote ulimwenguni, lenye mafunzo ndio maana halina muda wa kuvizia raia mitaani, wakati Hamas ni kundi la wahuni wasio hata na sare, wanaoua watu hovyo kwa kuwateka mitaani.
- Magaidi mengi huwa hayana sare,hata yale ya kule Somalia yako hivyo hivyo.
Tabia za gaidi umeshaambiwa na mleta mada ni kuua watu hovyo bila kujali uraia wao, magaidi ni sawa na wendawazimu wenye silaha za moto, hawatumii akili zao kwenye kutenda uhalifu wao, narudia tena; afadhali ya hao IDF huua pale ambapo wameshatoa ultimatum huku wahanga wakiwa tayari na taarifa.
Siioni double standard yoyote hapo.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mama ako nae ety ni bikra mtarajiwa huko ahera 😂 Hamas watakula bikra za ajabu ajabu sanaKama ulivyolaaniwa na waliokuzaa pia
Siungi mkono kuuawa kwa mtu yeyote asiye na hatia, au hata mwenye hatia lakini hatia yake haina hatari kwa maisha ya watu wengine.Mkuu naunga mkono kupinga magaidi dunia nzima ila mada ingekua balanced kama ungesema pia kuhusu IDF imeshaua raia wangapi wa kigeni na watoto wasio na hatia?
Maana ugaidi sio watu ila kitendo so hata jeshi rasmi likiua raia wasio na hatia basi ni magaidi vilevile. Hamas kama IDF wote wamefanya makosa yale yale sielewi why kunakua na double standards
Hakuna mkate mgumu mbele.ya.chai ucpotubu ...utakufa huku mdomo ukiwa wazi na utalipwa kwa yote uliyotenda...Mama ako nae ety ni bikra mtarajiwa huko ahera [emoji23] Hamas watakula bikra za ajabu ajabu sana
Sio matokeo ya kukosa ajira.Kwanza sisi hapa Afrika ya Mashariki tuko katika sehemu ambayo Magaidi yanaweza kupata wafuasi kwa haraka hebu fikiria Alshababu wana kundi kubwa la Vijana kutoka Mombasa Lamu Malindi na wengine kutoka Pwani ya Tanzania na Zanzibar.
Vijana wetu wengine walienda Msumbiji kijiunga na Magaidi ya ISIS kule.
Mimi huwa najiuliza au ni matokeo ya kukosekana kwa Ajira?
Ultimatum huku unaua watoto na wanawake? Why wasiue HAMAS ila watoto wasiojua linaloendelea. Pia Westbank nimeeleza wameua raia wengi na kupora makazi, Google kitu kinaitwa "Walowezi wa Israel " yaani hao ni waisrael wanaoishi ardhi ya palestina huko westbank, Gaza, na Golan Heights (Syria) wapo zaidi ya laki 5 na wamepora kwa kuua raia wenyeji. Kawasome kwanza ndio urudi kuchangia.Israel hutoa ultimatum kwa raia kuondoka maeneo watakayoshambulia, lakini sio kama hao magaidi wanao select watu individually, na kuwapiga risasi huku wakichekelea.
Na hapa ndio tunatofautiana tunadhani ugaidi ni mpaka kiwe kikundi, kwani waliposema Iran au gafaffi ni magaidi hawakuwa na majeshi?Sijui kwanini unalazimisha IDF wawekwe kwenye kundi moja na hao magaidi, lile ni jeshi kamili linalotambulika kote ulimwenguni, lenye mafunzo ndio maana halina muda wa kuvizia raia mitaani, wakati Hamas ni kundi la wahuni wasio hata na sare, wanaoua watu hovyo kwa kuwateka mitaani.
Sio kweli mbona Khalifa Haftar kule Libya sio jeshi la serikali ila hamumuiti gaidi zaidi mnamuita mpinzani tu!! Ila akiwa sio upande wa US ndio anaitwa gaidi. Saudia inaua raia wangapi? Ina support vikundi vingapi vya ugaidi ila umewahi sikia USA au Israel inawaita magaidi? Kisa tu ni makuwadi wa wazungu basi wanageuka malaika.Magaidi mengi huwa hayana sare,hata yale ya kule Somalia yako hivyo hivyo.
Yes hata Israel inafanya hivyo imeshaua raia wa US, UK na hata jumapili imeua wayahudi wenzake kwa kuwadungua wakidhani ni Hamas!!? Je na wao kwanini tusiwaite magaidi? Wameua pia wafanyakazi wa UN, Al Jazeera na afisa wa kifaransa je nao sio magaidi?Tabia za gaidi umeshaambiwa na mleta mada ni kuua watu hovyo bila kujali uraia wao,
Sio kweli huko westbank wameshaua watu maelfu tokea miaka ya 60 ili kupora ardhi yao. Kingine ultimatum imesaidia nini kama unaua bado watoto na wamama waliopo hospitalini. Yaani Hamas wanakufa 20 alafu raia 80 kwa kila watu 100, sasa ultimatum ina msaada gani?afadhali ya hao IDF huua pale ambapo wameshatoa ultimatum huku wahanga wakiwa tayari na taarifa.
Ipo, Russia imevamia Ukraine dunia imepiga kelele na sasa wanajikomboa wote mnawaunga mkono. Cha ajabu Palestina wakienda pambania ardhi yao iliyokaliwa kimabavu na raia wa Israel nje ya mipaka ya Israel mnawaita magaidi? Kama unamsupport Zelenksy lazima usupport Palestina maana wanachofanya ni kilekile.Siioni double standard yoyote hapo.