Gaga ndio nini

Gaga ndio nini

lea

Senior Member
Joined
Nov 6, 2013
Posts
116
Reaction score
20
Mara kadhaa nasikia hili tangazo kipengele hiki sikielewi"Asante kwa gaga mume wangu!" Najiuliza ndio nini nijuzeni wadau
 
Nilijua HAMISI GAGA (GAGARINO) Hii kiungo ilikuwa hatari sana R.I.P
 
Gaga? mi nilidhani magamba ya miguuni kama ya Shaa aliyoimba sugua gaga
 
Gaga? mi nilidhani magamba ya miguuni kama ya Shaa aliyoimba sugua gaga
Nadhani uko sahihi, kwani hata kwenye nyimbo mpya hii ya R.O.M.A kuna mistari yake kaimba hivi, Dogo utasugua benchi, hutaki sugua GAGA..
 
Back
Top Bottom