Gado amchora Magufuli hivi kufuatia juhudi zake za kulinda madini, anamaanisha nini?

Angalieni vizuri! kiwiliwili upande wa juu kuanzia kiunoni hiyo katuni imekazana kukimbilia mbele ila upande wa kuanzia kiunoni kwenda miguuni inakimbia nyuma kwa speed ya hatari.. Hiyo katuni!
inamaanisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…