GADIEL MICHAEL MMBAGA

Gadiel ni hatari,akirejea uwanjani huyu Kapombe. Hakuna timu bongo itatoa hata droo na mnyama
Wacha unafiki, alipokuwa Yanga alikuwa boya na hafai sasa kaja kwenu ndiyo mnashupaza bonge LA beki. Watz unafiki huu hatuwezi endelea.
 
Beki wangu kipenzi kabisa sema nitaumia akituama na kwenda simba ila kama atakuwa amepata timu bora nje ya nchi acha akatafute maisha bora zaidi . ila jamaa anaupiga mwingi tuache utani kwenye ligi yetu ya ndani shabalala ndo pekee wanaweza kushindana ila waliobaki wote akuna wakuziba ilo gap.
 
Wacha unafiki, alipokuwa Yanga alikuwa boya na hafai sasa kaja kwenu ndiyo mnashupaza bonge LA beki. Watz unafiki huu hatuwezi endelea.
Na alipokuwa kwenu mlisema bonge la beki anakuja simba mnasema hajui mpira...huu unafiki mbona hamjaanza kwanza nyinyi kujifunza kuuacha
 
Kazi bado ipo!
Gadiel%20to%20SA.jpeg
 
Mchukueni tu hamna shida,Sisi tunasubilia mpambano na Mohamed Hussein kukaangana,nani atashinda maana Kwasi alipigwa msumari mmoja tu kiwango kikaporomoka kama anashuka kitonga.

Mchukueni tu
 
Wachezaji wa Tanzania sijui huwa wanaogopa nini? Kwa nini wanashindwa kuwa wawazi kwamba mimi naondoka msimu ujao siyo leo unataka dau hili timu inakubali dk za mwisho unagoma unapandisha wanakubali,then unapandisha tena. Kuweni proffessional na msimamo,hakuna klabu inayo zuia mchezaji anae maliza mkataba kwenda anapo pataka. Lakini siyo kupotezeana mkataba.
Sijaona duniani mchezaji mkataba haujaisha anasajiliwa timu nyingine . Huu ni uhuni
 
Back
Top Bottom