Jamaa bado ushajaa africa kwani ndio muanzilishi wa AU,na pia anasema hata watumie makombara wananchi wako imara kuliko makomora yao,hata watumie vifaru wao wako imara kuliko vifaru vya nato na hatojisalimisha na hatokimbia nchi ni heshima kufia nchini mwake mara 1000 kuliko kukamatwa na majeshi ya nato huyo ndio Gadafi wa juzi,jana na leo